Skip to main content

Posts

Showing posts from April 13, 2014

HII NDIO MELI ILIYOKUWA NA WATU 470 ILIVYOZAMA NCHINI KOREA,WATU 3 WAMEFARIKI NA 300 WANAENDELEA KUSAKWA

A huge rescue operation has managed to save more than 368 people including hundreds of terrified high school children from a sinking South Korean passenger ferry after half the ship began dangerously submerging into the sea on Wednesday. At least two people - an employee of the boat company and a student - were killed and 14 passengers were injured as the ship sank, officials confirmed. Dozens of boats, helicopters and divers scrambled to rescue more than 470 people were were aboard the 6,825-ton ferry in what emergency services are calling the country's biggest peacetime disaster in 20 years. Officials claim 164 people have been rescued so far, but the South Korean Coast Guard fear the number of casualties could rise as they continue to drag passengers out of the water and try to locate people who are still trapped inside. The ferry was sailing to the southern island of Jeju when it sent a distress call Wednesday morning after it began leaning to on

MTAZAME SAMAKI MKUBWA AINA YA KAMBALE ALIYEVULIWA NDANI YA MTO RUAHA

Mto Ruaha ni moja ya mito ambayo maji yake kwa kiasi kikubwa sio masafi yamechanganyikana na tope, hali hiyo imesababisha kuwa na mazalio mengi ya samaki aina ya Kambale, Samaki hao ambao wanauwezo wa kuishi kwa muda mrefu hata kama hakuna maji kutokana na kwamba huwa na uwezo wa kujizika ndani ya tope hata kwa miezi zaidi ya sita. Wavuvi wa eneo hilo wamekuwa wakijishughulisha na uvuvi wa samaki aina mbalimbali lakini zaidi huvua samaki aina ya Kambale, Hivi karibuni wamevua Kambale mkubwa sana na kukili kwamba alikuwa ni moja ya samaki wakubwa ambaye wamemvua. Wamesema kwamba walisha wahi kuvua samaki aina hiyo mkubwa lakini hakufikia samaki huyo aliyevuliwa hivi karibuni. "Ni kweli tumekuwa tukivua sana samaki lakini huyu ni samaki mkubwa sana ambaye tumemvu" aliongea Mvuvi. Huyu ni Samaki Mkubwa ambaye alionekana pembezoni mwa Mto Ruaha Iringa Mara baada ya Kuvuliwa tayari kwa kuingizwa Sokoni. Samaki huyo akiwa anaonekana kwa ubavuni. Picha na I

SOMA HAPA HOTUBA YA MH.TUNDU LISSU ALIYOITOA KATIKA BUNGENI MALUMU LA KATIBA Mjumbe wa Bunge maalum la Katiba Mhe. Tundu Lissu alipokuwa akitoa Hotuba ya Maoni ya walio wachache kutoka katika Kamati Na.4 kabla ya Kukatiwa matangazo na Kituo cha matangazo cha TBC MAONI YA WAJUMBE WALIO WA WACHACHE KATIKA KAMATI NAMBA NNE KUHUSU SURA ...HII NDIYO HOTUBA YA MH.TUNDU LISSU ALIYOITOA KATIKA BUNGENI MALUMU LA KATIBA

Mjumbe wa Bunge maalum la Katiba Mhe. Tundu Lissu alipokuwa akitoa Hotuba ya Maoni ya walio wachache kutoka katika Kamati Na.4 kabla ya Kukatiwa matangazo na Kituo cha matangazo cha TBC MAONI YA WAJUMBE WALIO WA WACHACHE KATIKA KAMATI NAMBA NNE KUHUSU SURA YA KWANZA NA SURA YA SITA YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA [Kanuni ya 32(4) ya Kanuni za Bunge Maalum, 2014] UTANGULIZI Mheshimiwa Mwenyekiti, Sura ya Kwanza na Sura ya Sita ya Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (‘Rasimu’) ndizo msingi ambao Rasimu yote imejengwa juu yao. Wakati Sura ya Kwanza inagusa suala la muundo wa Muungano katika ibara moja tu kati ya ibara tisa, Sura yote ya Sita inahusu ‘Muundo wa Jamhuri ya Muungano.’ Suala la Muungano na hasa Muundo wake limetawala mjadala wa kisiasa na kikatiba wa Tanzania kwa zaidi ya miaka thelathini. Ndio maana katika waraka wake wa siri kwa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (‘CCM’), Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa ya

Hichi ndicho chanzo cha kifo cha Mzee gurumo

Watoto wa marehemu wakiwa katika majonzi na huzuni baada ya kumpoteza baba yao ambaye amafariki dunia tarehe 13 april katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kusumbuliwa na matatizo ya moyo kwa kipindi kirefu. Pia mdogo wa marehemu Ramadhani Mwishehe na Mtoto Mwalim Muhidin Gurumo walizungumza na sammisago,com wakielezea juu ya kifo cha Muhidin Gurumo maarufu kama Mzee Gurumo na mazishi yatakapofanyika Kisarawe Masaki “Baba yetu aliugua kwa muda mrefu sana anaugua anapata nafuu anaugua anapata nafuu siku ya mwisho jana saa kumi na moja alfajiri alizidiwa pumzi ilikuwa zimembana tukampeleka Hospitali Muhimbili pale, leo hii saa nane mchana ndiyo anaaga dunia  na prosesi za mazishi zitakuwa kesho saa tano asubuhi na atazikwa Masaki uzaramuni” Mtoto wa Marehemu Mwalim Mwidin Ngurumo.

KITU KINACHOSADIKIWA KUWA NI BOMU CHALIPUKA KATIAKA BAR MAARUFU JIJINI ARUSHA

Habari tulizozipata hivi punde zinadai kwamba mlipuko umetokea katika bar maarufu hapa jijini Arusha inayojulikana kwa jina la Arusha Night Park iliyopo maeneo ya mianzini. sababu za mlipuko huo bado haziajajulikana na juhudi za kupata taarifa kutoka kwa kamanda polisi mkoa wa Arusha BW. Liberatus Sabas zinaendelea ili kutoa taarifa kamili Mlipuko huu ni wa tatu kutokea jijini Arusha wa kwanza ni ule uliotokea katika kanisa la Mt. joseph mfanyakazi Olasiti na kusababisha vifo vya watu watatu na majeruhi kadhaa na tukio la pili lilitokea katika mkutano wa chadema uliokuwa ukifanyika katika viwanja vya soweto hapa jijini Arusha ambapo pia ulisababisha vifo pamoja na majeruhi PICHA na taarifa zaidi zitakujia muda sio mrefu.