Habari tulizozipata hivi punde zinadai kwamba
mlipuko umetokea katika bar maarufu hapa jijini
Arusha inayojulikana kwa jina la Arusha Night Park
iliyopo maeneo ya mianzini.
sababu za mlipuko huo bado haziajajulikana na
juhudi za kupata taarifa kutoka kwa kamanda polisi
mkoa wa Arusha BW. Liberatus Sabas zinaendelea
ili kutoa taarifa kamili
Mlipuko huu ni wa tatu kutokea jijini Arusha wa
kwanza ni ule uliotokea katika kanisa la Mt. joseph
mfanyakazi Olasiti na kusababisha vifo vya watu
watatu na majeruhi kadhaa na tukio la pili lilitokea
katika mkutano wa chadema uliokuwa ukifanyika
katika viwanja vya soweto hapa jijini Arusha
ambapo pia ulisababisha vifo pamoja na majeruhi
PICHA na taarifa zaidi zitakujia muda sio mrefu.
Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidog
Comments
Post a Comment