Skip to main content

Posts

Showing posts from June 2, 2013

NDOA YA PREZZO ILIVUNJIKA KUTOKANA NA UMALAYA WAKE NA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA...... KAZI KWAKO DIVA

Siku za hivi karibuni rapper mwenye asili ya Kenya na Tanzania Prezzo alitweet kuwa anaenda mahakamani huko Kenya lakini hakuweka wazi alikuwa anakabiliwa na kesi gani. Yawezekana ukawa unashangaa kusikia story kila kukicha juu ya king wa bling ana date na warembo wengi kwa wakati mmoja, mara Goldie (marehemu), mara Huddah, mara Diva, na jana tumesikia ameonekana akikiss na mrembo Victoria Kimani. Well! Prezzo alikuwa na mke lakini ndoa yao imetenguliwa rasmi na mahakama kuu ya Nairobi. Kwa mujibu wa mtandao wa standard media wa Kenya, aliyekuwa mke wa CMB Prezzo Daisy Jematia Kiplagat alifungua kesi ya kudai talaka

"NDOTO ZANGU NI KUOLEWA NA MSANII AY"....SALAMA JABIR

  Mtangazaji mahili wa show za TV/Radio aliyeisimamisha wima show mpya na kali inayorushwa kupitia channel 5 ‘Mkasi’ namzungumzia Salama Jabir ametupia ‘neno’ kupitia kipindi hicho kuwa huenda siku moja akaolewa na AY! Kama uliiangalia show ya Mkasi jumatatu ama marudio yake leo (jumamosi) ambapo crew nzima ya kipindi cha mkasi chini ya C.E.O na Producer wa show Ambwene Yesaya ‘AY’ walikuwa wakieleza changamoto na mambo mbalimbali waliyokutana nayo wakati wanaanza kufanya kipindi hicho, mwishoni Salama ambae alikuwa akimuelezea AY kuwa ni msanii ambae anajivunia kufanya nae kazi kutokana na jinsi alivyomchapakazi na mtu wa kuaminika

MBUNGE WA MTWARA MJINI AKAMATWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA KUCHOCHEA VURUGU ZA MTWARA

Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limemkamata mbunge wa Mtwara Mjini (CCM), Hasnain Murji likimtuhumu kuchochea vurugu za kupinga mradi wa bomba la gesi kutoka mkoani humo kwenda jijini Dar es Salaam

HII NDO PICHA YA WASHIRIKI WA BIG BROTHER FATMA WA MALAWI NA NJEMBA IITWAYO ONEAL WAKIOGA PAMOJA NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER

WASANII HAWA NDIO WALIOTISHA KATIKA TUZO ZA KILI

HIZI NDIZO SIFA 10 AMBAZO WANAWAKE WAMEWAZIDI WANAUME....

1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume. 2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao. 3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli. 4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku. 5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara Nyingi Huwa Inawaponza. 6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote. 7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala Biashara Yoyote. 8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya Kwanza Kufikiria Wakitaka Kutoka. 9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye Mapenzi. 10.Tupia Nyingine Unayodhani Nimeisahau.. .

HUYU HAPA MWANAUME ALIYEFARIKI DUNIA NDANI YA URODA GEST HOUSE ILIYOKO MANZENSE LEO MCHANA...

HAYA HAPA NDIO MAMBO 5 YA KUSHANGAZA KATIKA MSIBA WA MANGWEA...

HIZI HAPA PICHA ZA NGONO NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER...

Mpaka sasa tayari tumeshuhudia couple 4 za housemates katika Big Brother ‘The chase’ , lakini couple ya mu Ethiopia Betty na mu Sierra Leon Bolt ndio ilikuwa ya kwanza kufahamika katika wiki ya kwanza toka mchezo uanze (May 26).

PICHA ZA MAANDALIZI YA JUKWAA LA KILL MUSIC AWARDS....

  leo ndio siku yenyewe ambayo wasanii waliotajwa kuwania tuzo za mwaka huu za muziki wa Tanzania, Kilimanjaro Tanzania Music Awards, KTMA watajua hatma yao.  Tuzo za Kili zitatolewa leo June 8 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.