Skip to main content

Posts

Showing posts from December 29, 2013

HII NDIO HISTORIA YA MAISHA YA WAZIRI WA FEDHA DR WILLIUM MGIMWA ENZI YA UHAI WAKE

Historia fupi ya Waziri wa Fedha wa Tanzania, Dr. William Mgimwa aliyefariki dunia nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kwa matibabu. Kuzaliwa: Januari 20, 1950 Kalenga Iringa. Elimu: 1966 - 1967 Shule ya Msingi Tosa 1961 -1965 Shule ya Msingi Wasa 1970-1971 Seminari ya Mafinga 1968 - 1969 Tosamaganga Sekondari 1975 - 1984 Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) - Postgraduate in Finance 1989 - 1991 IDM Mzumbe (MBA - Finance) Ajira 1981 - 2000 - NBC Ltd (Mhasibu, Mhadhiri, Mkurugenzi, Mkurugenzi Mkuu) 2000 - 2010 - Chuo cha Benki Kuu ya Tanzania Mwanza (Mkuu wa Chuo) 2010 - 2013 - Mbunge, Kalenga (CCM) Kufariki: Januari 1, 2014

HIVI NDIVYO TMK WANAUME FAMILY WAFUNIKA SHOO YA MWAKA MPYA 2014 DAR LIVE

Kundi la TMK Wanaume Family likiwapagawisha mashabiki wa Dar Live kwa burudani. MwanamuzikwaWA kundi la TMK Wanaume Family, Amani Temba 'Mhe. Temba' akiwaatisha mashabiki. Mwanamuziki YP naye akiwapa burudani mashabiki wa Dar Live Nyomi ikifurahia burudani iliyokuwa ikitolewa na TMK Wanaume Family.

TAZAMA PICHA Z.A..SHOW YA SNURA WA MAJANGA ILIVYOKUWA DAR LIVE.. KWELI NI MAJANGA JUU YA MAJANGA....JIONEE MWENYEWE....

Snura Mushi na kundi lake wakifanya makamuzi katika usiku wa mwaka mpya 2014 ndani ya Dar Live. Snura akisema na mashabiki wake. Wanenguaji wa Snura wakiwa kazini. Snura na kundi lake wakizidi kupagawisha mashabiki wa Dar Live. t