Skip to main content

Posts

Showing posts from July 14, 2013

Angalia Masaibu haya ndiyo huwatokea wanawake ndani ya vyumba vya leba

    Mwanahamisi Majube amelala katika kitanda cha hospitali moja ya umma (jina linahifadhiwa) ikiwa ni  saa chache  baada ya kufanyiwa upasuaji wa kujifungua. Analia na kuugulia kwa uchungu, akilalamikia maumivu makali ya tumbo. Kwa sababu hiyo, anamwita daktari akimweleza kuwa anahisi kuna kitu tumboni mwake na kinamuumiza mno,  lakini daktari anamjibu kuwa ..........

Majambazi wavamia kituo kikuu cha Polisi Mwanza

  Wizi huo wa ajabu ulitokea Julai 18, mwaka huu, ambapo majambazi hao walivunja kituo hicho ambacho ndani yake kuna Ofisi ya Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mwanza (RPC). Mwanza. Majambazi wamevunja ofisi za Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Mwanza na kuiba mali mbalimbali vikiwemo vielelezo vya watuhumiwa walio na kesi mahakamani. Wizi huo wa ajabu ulitokea Julai 18, mwaka huu, ambapo majambazi hao walivunja kituo hicho ambacho ndani yake kuna ..........

Hivi ndivyo mapokezi ya makamanda waliokufa Darfur

Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba jeneza moja kati ya saba ya miili ya askari wa Tanzania waliokuwa katika jeshi la kulinda amani la Umoja wa Mataifa (Unamid) baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Jeshi (Airwing) Dar es Salaam jana.Picha na Fidelis Felix  Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal jana aliwaongoza mamia ya waombolezaji kupokea miili saba ya wanajeshi wa Tanzania waliouawa Darfur, Sudan, Julai 13, mwaka huu. Miili ya wanajeshi hao saba iliyowasili jana ni

HIVI NDIVYO AGNES MASOGANGE ALIVYOKAMATWA

ZIMEPITA siku 16 tangu Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ kudaiwa kunaswa na madawa ya kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo mjini Kempton Park nchini Afrika Kusini, mapya yameibuka kuambatana na tukio hilo, Risasi Jumamosi linakupasha. Chanzo chetu cha ndani kilichoongea na...........

IRENE UWOYA AFUNGUKA BAADA YA SIRI YA YEYE KULIWA URODA NA DIAMOND PLATNUMZ KUVUJA.STORI NZIMA HII HAPA

Kufuatia kuripotiwa kwa habari “kali” sana iliyopewa kichwa “DIAMOND AFICHUA KISA CHA KULALA NA UWOYA!” leo kuhusu mwanadada Irene uwoya na Msanii wa kizazi kipya Diamond platnumz leo na mtandao wa Global publishers, hatimaye Irene Uwoya alichukua dakika kadhaa kuandika hichi alichokiandika hapa chini…

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

KLYINI AMUWEKA WAZI BABA WA WATOTO WAKE

      Msanii ambaye alitamba sana katika muziki wa Bongo fleva pia ni miss Tanznaia wa mikaka ya nyuma Jacklin Ntuyabaliwe ameamua kuweka wazi maisha yake ya sasa ambayo yalikuwa ni siri kwa....

Hii hapa Historia ya televisheni

Kikawaida TV inaonekana kama sanduku. TV za zamani kabisa zilikuwa zina kirimba au fremu kubwa ya mbao na zilikuwa zikiwekwa chini kama fanicha . TV za kisasa ziko za namna nyingi kama zilivyo nyingi zaidi. Kuna baadhi ya TV zinaweza kunea mkononi mwako na zikawa zinaendeshwa kwa kutumia mabeteri. TV zingine zinaweza kuenea ukuta mzima wa nyumba, na inaweza.........

Hizi hapa dalili kuu za mwanamke anapotaka kufika kileleni

                     Siku zote katika mapenzi hakuna kitu kizuri kama kuridhishana hususan katika tendo la ndoa, ukweli uliopo ni rahisi sana kwa mwanaume kuwahi kufika kileleni kuliko mwanamke hii inatokana na sababu... nyingi kwa upande wa mwanaume suala la kuwahi kumaliza mapema linaweza kusababishwa na tatizo la nguvu za kiume na kukurupuka katika tendo kwa maana ya ........

WALIOMRUHUSU MASOGANGE APITE NA 'UNGA' AIRPORT NI HAWA!

Stori: Mwandishi Wetu HAKUNA sababu ya kumkamata ‘mchawi’  kwenye skendo ya Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ kudaiwa kukamatwa na madawa ya  kulevya nchini Afrika Kusini wakati ukweli upo............

BAADA YA KUFARIKI MASTAA MBALIMBALI HAPA BONGO SASA KIBAO IMEUKIA UPANDE WA PILI NA KUAMIA KWA WAZAZI WA MASTAA

Januari 2, mwaka huu, tasnia ya filamu ilimpoteza msanii mashuhuri, Juma Kiwoloko ‘Sajuki’ na kuwa mwanzo wa vifo vya mastaa wengine. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na.........