Skip to main content

BAADA YA KUFARIKI MASTAA MBALIMBALI HAPA BONGO SASA KIBAO IMEUKIA UPANDE WA PILI NA KUAMIA KWA WAZAZI WA MASTAA



Januari 2, mwaka huu, tasnia ya filamu ilimpoteza msanii mashuhuri, Juma Kiwoloko ‘Sajuki’ na kuwa mwanzo wa vifo vya mastaa wengine.

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na.........
gazeti hili, Sajuki alipofariki dunia katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar baada ya kuugua kwa muda mrefu, vifo vingine vya mastaa vilifuata kama ifuatavyo:…
Stori: Mwandishi Wetu
inauma sana! Jinamizi lililowaacha watu na majonzi baada ya kufariki kwa mastaa mbalimbali wa hapa Bongo sasa limegeukia upande wa pili na kuhamia kwa wazazi wa mastaa wanaofanya vyema katika kazi zao.
Januari 2, mwaka huu, tasnia ya filamu ilimpoteza msanii mashuhuri, Juma Kiwoloko ‘Sajuki’ na kuwa mwanzo wa vifo vya mastaa wengine.
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na gazeti hili, Sajuki alipofariki dunia katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar baada ya kuugua kwa muda mrefu, vifo vingine vya mastaa vilifuata kama ifuatavyo:
OMARY OMARY
Gwiji la muziki wa Mchiriku, Omary Omary ambaye alitamba sana na wimbo wa ‘Kupata ni Majaaliwa’ alifariki Juni 8, mwaka huu baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Omary alilazwa katika Hospitali ya Temeke jijini Dar na aliruhusiwa siku moja kabla ya kifo chake na aliporudishwa hospitalini hapo akaaga dunia.
MANGWEA
Mfalme wa ‘free style’ mwana Hip Hop, Albert Mangweha ‘Ngwair’ alifariki dunia Mei 28, mwaka huu Afrika Kusini alipoenda kwenye shughuli zake za kisanii.
KASHI
Jinamizi la vifo vya wasanii liliendelea baada ya Juni 10, mwaka huu kumchukua msanii wa filamu, Jaji Khamis ‘Kashi’ aliyefariki dunia katika Hospitali ya Muhimbili.
LANGA KILEO
Safari hii ilikuwa ni kilio tena kwa wasanii wa Hip Hop ambapo  Juni 13, mwaka huu msiba ulihamia kwa Langa Kileo aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Muhimbili kwa Ugonjwa wa malaria.
JINAMIZI LAHAMIA KWA WAZAZI
Baada ya hapo jinamizi la vifo likahamia kwa wazazi wa mastaa na kuwachukua kwa mfululizo kama ilivyokuwa kwa wasanii.
MAMA DUDE
Msanii wa kwanza kuonja uchungu wa kifo cha mzazi wake mwaka huu ni Kulwa Kikumba ‘Dude’ ambaye alifiwa na mama yake, Mwadodo Ramadhan usiku wa kuamkia Mei 28 wakati akimkimbiza hospitali kwa ajili ya matibabu.
MAMA WA BARNABA
Juni 22, mwaka huu jinamizi hilo likamkumba mama wa mwanamuziki wa kizazi kipya wa Kundi la THT, Barnabas Elias ‘Barnaba’.
Imefahamika kwamba mama wa Barnaba alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa presha.MAMA WA Z-ANTO
Kama vile haitoshi, jinamizi hilo lilirudi tena kwa wazazi hao wa mastaa na Julai 11, mwaka huu likamchukua mama wa msanii aliyewahi kutamba na wimbo wa Binti Kiziwi, Ally Mohammed ‘Z- Anto’.
Habari zimesema kwamba mama huyo alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa saratani ya ini.
MAMA WA PROFESSA JAY
Siku moja kabla ya kifo cha mama wa Z- Anto, Julai 10, gwiji wa muziki wa Kizazi Kipya, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ alipata pigo la kuondokewa na mama yake mzazi, Rosemary Majanjara aliyefariki dunia kwa ajali ya gari maeneo ya Mbezi jijini Dar.
BABA WA JOYCE KIRIA
Wakati Profesa Jay akimpoteza mama yake, Mtangazaji wa Runinga ya East Africa (EATV), Joyce Kiria siku hiyohiyo alilia kwa kumpoteza baba yake mzazi, Michael Francis Lwambo Kiria.
Taarifa zinasema kwamba, baba huyo alifariki dunia jijini Tanga alikokuwa akifanya shughuli zake binafsi.

Comments

Popular posts from this blog

ANGALIA VIDEO YA MWANAMKE AKIZINI NA CHUPA YA SODA YANASWA

 Katika  hali  ya  kushangaza  na  kuashiria  miisho  ya  dunia, binti  mmoja  amenaswa  " live " akifanya  mapenzi  na  CHUPA YA SODA. Katika  video  hiyo, binti  huyo  anaonekana  akitoa  ushirikiano  wa  kutosha  mithili  ya .............

HUYU NDIYE ALIIYELAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA PAMOJA NA FARASI KWA AJILI YA PESA.

When the Internet first came to the continent of  African society,most people were  very pleased with it because it reduces stress of communication with love around the world,it also serve as productive purposes like communication.It served many people for chatting, sending mails and even business. As the time passed by many ladies discovered that they could use the internet to find a chat friend or a life partner.Some girls have greatly benefited just by using the internet to find their dream marriages or relationhsips. Others have fallen into traps in the West and wish they would never have known what the internet was.This is the case of one Cameroonian,Elvire Axelle Tchamakoua. Continue....... SEE HOW IT ALL HAPPEN.... Axelle is pr00stit-te who is pimped to various men by her main man Jean Claude(French Businessman).She did not mind serving her customers from the front or from behind.The use of condoms during her encouters was the allowed as it b

HAYA NDO MANENO YA KUMPANDISHA hisia MPENZI WAKO UMPENDAE!!!!!

                                       Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza  kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidog