Skip to main content

Posts

Showing posts from February 16, 2014

HIZI NDIZO SABABU ZILIZOSABABISHA MTANDAO WA KIJAMII WHATSUP KUSUA SUA

Posted under:  Celebrities ,  Entertainment ,  Mixed ,  Music ,  News Baada ya mtandao wa mawasiliano ya ujumbe mfupi wa simu WhatsApp  kupata tatizo kwa masaa machache watumiaji wa mtandao huo wameingia kwenye mitandao tofauti na kuanza kulalamika kuhusu facebook kununua mtandao huo na kuamua kufunga huduma yake ili facebook itumike zaidi. Fahamu mmiliki wa facebook amelipia dola bilioni 19 kununua mtandao huu. Kupitia twitter account ya whatsup walitoa taarifa kuwa walipata tatizo kubwa na wanafanya marekebisha na kuwa mtandao huo utarudi hewani baada ya muda mfupi. Hizi ndio twit zao Mambo haya yalianza kusamba kwenye mitandao kuhusu whatsup kuzimwa.