Skip to main content

Posts

Showing posts from May 19, 2013

"UHUSIANO BILA KUKUTANA KIMWILI NI KUDANGANYANA"...MSANII TOPE

Muigizaji Tope Osoba amekataa kuwa na mahusiano bila ya kukutana kimwili, na kufunguka kwamba anashangazwa na wasanii wengi wa Tanzania na Nigeria ambao wamekuwa wakiolewa na wanaume zao na kuishi nje ya nchi kwa zaidi ya mwaka na hakuna kati yao aliyepata nafasi ya kumtembelea mwenzake.   “Ngono ni kitu cha kuburudishana kati ya wawili wapendanao. Ngono ni nzuri. Imeumbwa ili wapenzi wa-enjoy na kubadilishana siri za mioyo yao.” Alifunguka actress huyo.   Alipoulizwa kuhusu mapenzi kabla ya ndoa, Tope alisema: “Mapenzi kabla ya ndoa ni poa tu, al muradi usalama kwanza. kwanza tusidanganyane, hauwezi kudumisha uhusiano bila ngono.”   Alifafanua kuwa maisha ya namna hiyo hayapo na kama yapo yana kitu nyuma ya pazia kwa kuwa hakuna mwaminifu bila ya sababu ya msingi

HUYU NDO MREMBO ATAKAYEWAKILISHA SHINDANO LA BIG BROTHER MWAKA HUU

RAISI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZJI ARUSHA ACHAGULIWA ANGALIA HAPA PICHA RASMI ZA TUKIO ZIMA LA UCHAGUZI HUO.pia viongozi watakaongoza serekali hiyo wapo hapa

BAADHI YA WANACHUO WA AJTC WAKISHANGALIA WAKATI WA KUTANGAZWA MATOKEO BOX LILILOBEBA KURA ZA WANACHUO  JOPO LA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI LIKIWA LINAELEKEA KATIKA UKUMBI WA CHUO KUTANGAZA MATOKEO  HAWA HAPA NDIO MCs WA THE CLASSIC AMABAO WALIHUSIKA KATIKA KUHOST SHOW YOTE