RAISI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZJI ARUSHA ACHAGULIWA ANGALIA HAPA PICHA RASMI ZA TUKIO ZIMA LA UCHAGUZI HUO.pia viongozi watakaongoza serekali hiyo wapo hapa
| BAADHI YA WANACHUO WA AJTC WAKISHANGALIA WAKATI WA KUTANGAZWA MATOKEO |
| BOX LILILOBEBA KURA ZA WANACHUO |
| JOPO LA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI LIKIWA LINAELEKEA KATIKA UKUMBI WA CHUO KUTANGAZA MATOKEO |
| HAWA HAPA NDIO MCs WA THE CLASSIC AMABAO WALIHUSIKA KATIKA KUHOST SHOW YOTE |
| Rais georg Sirange Akitoa shukrani kwa wapiga kura wake mara baada ya kutangazwa mshindi. |
| WAGOMBEA WA NAFASI YA URAISI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA |
| BAADHI YA WAKUFUNZI WAKIWA KATIKA PICHA YAPAMOJA NA WAGOMBEA WA NAFASI YA URAISI. |
| EXLUSSIVE HUYU HAPA NDIE GEORGE SIRANGE RAIS WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI ARUSHA. |
| Mkufunzi ambae ni mlezi wa Wanachuo akitoa shukrani kwa wanachuo waliojitokeza kupiga kura za kumchagua Raisi. |
Comments
Post a Comment