Skip to main content

Posts

Showing posts from September 22, 2013

Sababu saba za kibiblia kwanini watu wanakufa mapema!

Bwana Yesu asifiwe sana wana wa Mungu, ni matumaini yangu na Imani yangu ya kwamba u mzima na ya kuwa unaendelea kuufurahia uzuri wa Yesu Kristo na kazi yake ya msalaba. Leo ninataka kwa pamoja tuyachunguze maandiko na tuzipitie sababu hizi saba za Kibiblia ni kwa nini watu wengi wanakufa mapema…na sasa ongezeko la vifo vya mapema ni kubwa kuliko hata zamani. Kwa Tanzania wastani wa kiwango cha maisha ni miaka 45,Binafsi nauona umri huu kuwa ni mdogo sana kwa mtu wa rika hili kuondoka duniani kwani anakuwa na majukumu mengi ya kufanya na pia mchango wake unakuwa unahitajika kwenye familia, ukoo, wilaya, mkoa, taifa na hata duniani kwa ujumla. Ni maombi yangu na dua yangu kwa Bwana ya kwamba umalizapo kusoma ujumbe huu, macho yako ya ndani yatafunguka na utaweza kuona swala hili kwa jicho la Rohoni…KARIBU SANA. Zifuatazo ni sababu saba kwa mujibu wa Neno la Mungu ni kwanini watu wanakufa mapema(katika umri mdogo) 1. KUTOWAHESHIMU WAZAZI(BABA NA MAMA) Biblia iko wazi san

VYOMBO VYA GWAJIMA VYAWA GUMZO VIWANJA VYA RELI ARUSHA, AANZA MKUTANO LEO

Maandalizi yakiwa hatua za mwisho kukamilika hapo jana. Ikiwa leo unatazimiwa kuanza rasmi mkutano mkubwa wa kiroho katika viwanja vya reli mkoani Arusha utakaoongozwa na kanisa la Ufufuo na Uzima chini ya askofu Jospehat Gwajima kiongozi wa kanisa hilo, tayari hapo jana wakazi wa eneo hilo na jirani walianza kukusanyika viwanjani hapo baada ya kusikia muziki wa kanisa hilo utakaotumika ukijaribiwa. Kati ya watu waliosogea karibu ni pamoja na watumishi kutoka makanisa mbalimbali mkoani humo ambao hawakuacha kusema kwa muziki waliouona uwanjani hapo basi watu wataokoka kupitia muziki, ukiacha watumishi hao pia watu mbalimbali walionekana kujipanga wakiangalia ukubwa wa vyombo hivyo ambavyo vimening'inizwa kwenye vyuma maalumu na kujipanga sawia. Kanisa hilo linafanya kwa mara ya kwanza mkutano mkubwa wa injili mkoani Arusha ambao unaanza siku ya leo tarehe 27 mpaka tarehe 10 mwezi ujao ukiwa na waimbaji mbalimbali akiwemo Flora Mbasha, John Lisu, Jackson Benty, Maximilian Machum

TAZAMA PICHA PAMOJA NA MATUKIO YOTE ZINAZOONESHA JINSI DIOMOND ALIVYOPOKELEWA ZANZIBAR

Baada ya kuwasili uwanja wa ndege Zanzibar Nikiongea mawili matatu na baadhi ya waandishi waliokuwa wamepiga kambi uwanjani kunisubili Watu walikuwa wameshapata taaarifa kuwa nimewasili,hapa baadhi ya mashabiki wakisubiri  kwa hamu kumwona the president Nikizungumza na watu wangu wa zanzibar ndanui ya kituo kikubwa kabisa cha Radio Zanzibar.Coconut Radio Baadae nikakutana na waandishi wa habari ndani ya hotel ya kisasa kabisa,Zanzibar beach  lesort Wanahabari kazini Unataka kujua mimi na True boy tulifanya nini Zanzibar?stay visting ....

HIZI NDIZO SABABU 5 ZINAZOSABABISHA UUME KUWA MDOGO (KIBAMIA)... SOMA HAPA USIJE

Kundi kubwa la  wanaume  ambao  wanashindwa  kufurahia  tendo la  ndoa  kutokana na kuwa  na uume  mdogo  kupita  kawaida... Wanaume  walio na tatizo  hili  wengi  wao huwa  hawana  confidence  ya   kuingia  katika  mahusiano  na  wasichana  ama  wanawake  wanao  fahamiana  nao  kutokana  na  kuogopa  " siri" zao  kujulikana  hususani  pale  uhusiano  wao  unapofika  mwisho.. Ikitokea  mwanaume  akiwa  katika  uhusiano  na  mwanamke "mcharuko" ( asiye  mstaarabu )  mwanamke huyo anaweza  kuanza  kumvua nguo  hadharani  kwa  kumtangazia    kwa  watu  kuwa  na  uume  mdogo ."  Mwanaume  utakuwa  wewe !" na  lugha za  namna  hiyo hutawala  midomoni  mwa  wanawake  hawo.... Matokeo  yake  sasa  wanaume walio na  tatizo  hili  huamua  kutokuwa  na  uhusiano wa  kimapenzi na  wanawake  wanao fahamiana  nao, na  badala  yake  huamua kuanzisha   tabia  ya kuwa  wanajamiiana  na  wanawake  wanaouza  miili  yao  ama   kujihusisha  na  upigaji  punyeto n.k . NINI 

HII NDO TATOO YA KIUNONI KWA MWANA DADA RAYUU ILIYO MGHARIMU KIASI CHA TSH. LAKI TATU....itazame hapa

AKIONGEA NA MTANDAO HUU WA PAPARAZI  RAYUU KASEMA TATOO HIYO ILIYO CHORWA  KUZUNGUKA KIUNO KIZIMA IMEMGHARIMU KIASI CHA TSH.LAKI TATU NA ZAIDI. NI TOFAUTI NA TATOO ZINGINE KAMA YA SHINGONI NA KWENYE BEGA AMBAZO ZOTE NI CHINI YA HIYO BEI....

Hizi ndizo sababu zilizosababisha gazeti la MWANANCHI NA MTANZANIA kusimamishwa na Serikali kwa muda.

Serikali kupitia kwa Mkurugenzi wa IDARA YA HABARI-MAELEZO (TIS) Assah Mwambene imesimamisha uchapishaji wa magazeti mawili makubwa ya Tanzania gazeti la Mwananchi na Mtanzania kwa kile kilichoitwa uhatarishaji wa amani na mshikamano wa taifa kwa kuandika makala za uchochezi zinazosababisha wananchi kukosa imani na vyombo vya ulinzi na usalama vya taifa. Mwananchi linalomilikiwa na kampuni ya Mwananchi Communication Limited (MCL), limezuiliwa kwa muda wa wiki mbili baada ya kuchapisha habari iliyokuwa na kichwa cha habari "MISHAHARA MIPYA SERIKALINI 2013" kwenye toleo namba 4774 ambayo ulikuwa ni wakara wa siri wa serikali na haikuwa sahihi kutolewa na vyombo vya habari. Kwa upande wa gazeti la MTANZANIA, toleo la 7262 la tarehe 20 Machi mwaka huu walichapisha habari iliyokuwa na kichwa cha habari kisemacho "URAISI WA DAMU" huku tarehe 12 Juni mwaka huu toleo namba 7344 liliandika habari yenye kichwa cha habari "MAPINDUZI HAYAEPUKIKI" habari am

TAZAMA HAPA Picha ya msanii RECHO akiwa katika pozi la NUSU UCHI

  MSANII wa filamu za kibongo, Rachel Haule ‘Recho’ hivi karibuni aligeuka kituko baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii.  Picha hiyo ambayo Recho amevaa shati tupu (inayoonesha ndani) bila kuvaa kitu kingine chochote, aliitupia kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo mashabiki na marafiki zake walichangia huku wakimlaumu kuwa hakufanya vizuri kuiweka picha hiyo ya aibu mtandaoni. Mwandishi  wetu alimuuliza Recho kulikoni? Akajibu hivi: “Nawapenda sana marafiki zangu lakini mimi sijaona tatizo la hii picha kwa sababu ni ya kawaida sana sioni ubaya wake.”

HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA SHOW YA DIAMOND ZANZIBAR, ILIFUNIKA

Haya ndiyo aliyoyasema Diamond Platnumz kwa fan wake wa Zanzibar Oooh Zanzibar, u got me speechless, I dont even know how to start thanking you, or show my appreciations for the love and support that You have for me..I'm OVER JOYED..surely! Truly! You guys are my no.1 fans... The love I have for you is beyond measure, beyond words that I can explain.. Out of this sphere!.. Zanzibar! I love you u guys very very very MUCH. Thank U!!!!"

HIZI NDIZO SABABU ZINAZOSABABISHA MWANAUME KUKIMBIWA NA WANAWAKE

1. Wakikosa attention yako. Wasichana hupenda pale wanapofahamu kuwa unawasikiliza na unafahamu nini wao wanahitaji. Kama kutakosekana mawasiliano mazuri na atagundua hilo atauona uhusiano huo haumtimilizii haja zake. Hata kama kila kitu kinaenda sawa. Msikilize anapoongea. Kama akiona hapati penzi analolihitaji atatafuta mwingine ambaye yupo tayari kumt imizia. 2. Kumuheshimu. Msichana huwa anajitoa sana awapo katika mahusiano hivyo anategemea mvulana uheshimu hata kwa chochote kidogo anachokufanyia. Mfanye agundue kuwa umeheshimu kile ambacho amekufanyia. 3. Usaliti. Unaposaliti inamaanisha kuna kitu hakipo sawa katika mahusiano yako hata kama una uwezo wa kushughulikia lakini wewe unaona njia sahihi ni kutoka nje kuwa na mahusiano na msichana mwingine ukidhani ndio unarekebisha. Pale msichana wako akikukamata unamsaliti fahamu hawezi kuvumilia naye atakuacha. 4. Ukosefu wa hisia za kimapenzi. Msichana hupenda kuona kuwa wanapendwa wanathaminwa na wapenzi w

Hivi ndivyo magaidi walioiteka Westgate walivyotoroka

Tukio la kuvamiwa kwa nchi ya kenya na magaidi waliyoteka jengo la kibiashara ndio liligonga vichwa vya habari kwa wiki hiii lakini taarifa inadaiwa kuwa hakuna gaidi hata mmoja alieuwawa inadaiwa kuwa magaidi hao walitoroka kupitia shimo la handaki hivyo serikali ya kenya haikufanikiwa kuuua gaidi hata mmoja wote walitoroka kupitia shimo hilo na licha ya serikali kutangaza kwamba ilmeua magaidi hao Angalia picha za shimo hilo                             CHANZO KENYA DAILY POST