Tukio la kuvamiwa kwa nchi ya kenya na magaidi waliyoteka jengo la kibiashara ndio liligonga vichwa vya habari kwa wiki hiii lakini taarifa inadaiwa kuwa hakuna gaidi hata mmoja alieuwawa inadaiwa kuwa magaidi hao walitoroka kupitia shimo la handaki hivyo serikali ya kenya haikufanikiwa kuuua gaidi hata mmoja wote walitoroka kupitia shimo hilo na licha ya serikali kutangaza kwamba ilmeua magaidi hao Angalia picha za shimo hilo
CHANZO KENYA DAILY POST
Comments
Post a Comment