Skip to main content

Posts

Showing posts from August 18, 2013

Madiwani waliotimuliwa CCM wadai kuwa wako tayari kuhamia CHADEMA

MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofukuzwa katika Manispaa ya Bukoba, wamesema wako tayari kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kama chama chao kitaendelea na msimamo wa kuwafukuza.  Akizungumza na................

Madiwani waliotimuliwa CCM wadai kuwa wako tayari kuhamia CHADEMA

MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofukuzwa katika Manispaa ya Bukoba, wamesema wako tayari kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kama chama chao kitaendelea na msimamo wa kuwafukuza.  Akizungumza na................

Huyu ndo Mangunga aliyewatoroka akina Masogange baada ya polisi kuwanasa

Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe alimtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga  na  kuwataka  polisi  wamtie  nguvuni  popote  atakapoonekana.... Hata  hivyo, mshukiwa huyu pamoja na picha zake alishaandikwa na gazeti la SANI katika toleo lake la Agosti 7-9, 2013 (toleo la 1042) pamoja na............

Mwalimu wa miaka 30 amuweka kinyumba mwanafunzi wake wa miaka 14

MWANAFUNZI wa darasa la saba katika Shule ya Msingi ya Sokoine, Manispaa ya Dodoma (jina linahifadhiwa), anadaiwa kuwekwa kinyumba na mwalimu wake David Macha (30). Mwanafunzi huyo wa miaka 14 ni kati ya watoto wanaofadhiliwa na shirika lisilo la kiserikali la Compassion International Tanzania kituo cha Tz 807 FPCT kilichoko Chamwino. Hata hivyo, katika hali ya  kushangaza Jeshi la Polisi mkoani hapa, limelalamikiwa na wazazi wa mtoto huyo kwa kitendo cha.............

Wafuasi wa Sheik Ponda wapiga kambi katika gereza la Segerea

Wafuasi wa Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda wamepiga kambi katika Gereza la Segerea, Dar es Salaam wakitaka kumwona bila mafanikio.  Wakizungumza jana nje ya gereza hilo, wafuasi hao walisema walipofika hapo............

Huu ndio Ujumbe wa Ray C kwa wavuta bangi wote...

Ray  C   ambaye aliathirika na matumizi ya dawa za kulevya na baadae kupona  ameendelea kuwa kioo cha jamii kwa ku-share experience yake baada ya kupona kwenye ishu ya dawa za kulevya. Msanii  huyo  ametoa ujumbe mpya ambao ni muhimu kila mtu kuujua kwasababu kwenye mazingira yetu kuna waathirika wengi wa dawa za kulevya. Haya ndiyo maneno ya Ray C mwenyewe ambayo yana ujumbe mzuri ndani yake:...............

Hivi ndivyo Mwanamke mwingine alivyobakwa na kuchomekwa miti sehemu za siri

Ikiwa  ni  siku  chache  baada  ya  mwnamke  mmoja  mkazi  wa  kahama  kubabwa  na  kutobolewa  macho  huku  akichomekwa  kisu  sehemu  zake  za  siri, mitandao  ya..........

Mtandao wa Rwanda wadai Rais Kikwete si Mtanzania Original

Mtandao wa News of Rwanda juzi umeandika makala yenye kichwa cha habari, ‘If President Kikwete is Tanzanian, then most Rwandans being expelled are Tanzanians too’ na kuandika kile linachodai kuwa Rais Kikwete anaweza kuwa na asili ya Burundi. Kwa mujibu wa wazee wa Burundi waliohojiwa na mtandao huo, umedai Rais Kikwete anaweza kuwa na asili ya Giteka, Burundi.   “They are of Rwandan origin, but speak Kirundi and solely prefer to be viewed as Burundians. By virtual of that country’s laws, they are....