Skip to main content

Posts

Showing posts from December 20, 2015

Rais Magufuli amemalizia kuwateua Mawaziri Wanne Waliokuwa Wamebaki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa ...........

Uamuzi wa Mwisho wa NEC kuhusu Uteuzi wa Madiwani viti Maalumu Kyerwa Baada ya Chadema Kulalamika

Polisi Wauana Kwa Risasi Jijini Mwanza Wakiwa Lindoni

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, SACP Justus Kamugisha.   ASKARI Polisi wa Kituo cha Polisi Nyamagana jijini Mwanza, Konstebo Daud Masunga Elisha, amemuua askari mwenzake, Konstebo Petro Saimon Matiko kwa risasi na baadaye kujiua kwa..............

Magazeti ya Tanzania December 24 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho

Leo  December 24   2015  nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews .....

Mwakyembe: Tutamalizia Mchakato wa Katiba Mpya Kuanzia Pale Ulipoishia

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe amesema Rais amempa kazi ya kuhakikisha anakamilisha mchakato wa Katiba Mpya pamoja na uanzishwaji wa Mahakama ya Rushwa. Kura ya Maoni ya kupitisha Katiba Inayopendekezwa ilipangwa kufanyika Aprili 30, lakini......................

Waziri Mkuu Acharuka.....Asema Wabadhirifu Watang'olewa Mara Moja,Asisitiza Wasomi Wako Wengi wanaotafuta Ajira

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya watendaji wa halmashauri nchini kwamba atakayebainika ametumia vibaya fedha za Serikali atang’olewa kazini kwa sababu Serikali ya Awamu ya Tano haina mchezo na mtu.    Alitoa kauli hiyo jana mchana (Jumapili, Desemba 20, 2015)  wakati akizungumza na mamia ya wananchi waliofika kumsikiliza kwenye mkutano wa...................

Ada Elekezi Shule Binafsi Tayari

TUME ya wataalamu waliokuwa wanakusanya maoni ya wadau wa elimu na kukokotoa ada elekezi kwa shule za msingi na sekondari zisizo za Serikali, wamemaliza kazi yao na tayari wamekabidhi ripoti hiyo kwa Serikali. Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Sifuni Mchome amethibitisha kukamilika kwa..................

Madiwani wa CUF Kufikishwa Mahakamani Kwa Kufanya Vurugu

Madiwani kumi wa Chama Cha wananchi (CUF) waliodaiwa kufanya vurugu katika uchaguzi wa Meya wa Manispaa ya jiji la Tanga wanatarajiwa kufikishwa mahakamani. Hayo yalisemwa jana na Kamanda wa Polisi wa Tanga, Zubery Mwombeji alipokuwa akizungumza na.................

Ukawa wamtetea Mkurugenzi wa Kinondoni Aliyesimamishwa kwa Ufisadi

Madiwani wa vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wamemtetea Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Mhandisi Mussa Natty 7aliyesimamishwa kazi. Mhandisi Natty alisimamishwa kazi kwa tuhuma za kushindwa kusiamia vyema mkataba wa ubinafsishaji wa ufukwe wa Coco Beach kwa diwani wa Mbagala Yusuf Manj pamoja na..............

Majibu ya Diamond Platnumz >> kilichomtoa machozi? Kazi na Wema? hakwenda kwa Zari Uganda.. (+Audio)

Staa wa Bongofleva,  Diamond Platnumz  amerudi kwa uzito mkubwa kwenye headlines za muziki baada ya kuachia ngoma ya ‘Utanipenda’. Baada ya kuachia video ya ngoma hiyo, leo................