Skip to main content

Majibu ya Diamond Platnumz >> kilichomtoa machozi? Kazi na Wema? hakwenda kwa Zari Uganda.. (+Audio)

Staa wa Bongofleva, Diamond Platnumz amerudi kwa uzito mkubwa kwenye headlines za muziki baada ya kuachia ngoma ya ‘Utanipenda’.
Baada ya kuachia video ya ngoma hiyo, leo................
December 21 2015 kaachia audio rasmi hewani kwenye show ya ‘Leo Tena‘ Clouds FM… kwenye stori zilizopigwa aliulizwa pia kuhusu sababu iliyofanya apost kipande cha video kilichomtoa machozi wakati mama yake anaigiza.
DIAMOND II
Ile stori ya video nimeandika mimi… wakati wanashoot nilikuwa nawaelekeza kwamba inabidi iweje… alivyoanza kuigiza nikajikuta nashindwa kuvumilia, nikahama. Hata yeye mwenyewe hisia zilimgusa, ukiangalia kwenye video utafikiri anataka kulia kweli, nilijisikia vibaya.. sijawahi kumuona mama yangu anaigiza… Wakati naangalia video kwa mara kwanza nilitokwa machozi, japo naona kama nimeizoea ila nikikaa pekeyangu naangalia, naona kama ni kweli hivi.‘>>> Diamond Platnumz.
DIAMOND VI
Kwenye video ya ‘Utanipenda‘, ameonekana pia mrembo Jackline Wolper, sababu yaWolper kuonekana ni hii hapa >>> Wolper tunaheshimiana, tuna uhusiano mzuri wa kikazi na kiundugu… katika mastaa wenye nguvu, Wolper lazima umtaje..
Diamond Platnumz na Jackline Wolper
Diamond Platnumz na Jackline Wolper
Kuna ukweli wowote kwamba nafasi ya Wolper ilikuwa acheze Wema Sepetu na akakataa? Majibu ni haya >>> ‘Sio kweli, sijawahi hata kuwaza hivyo… hapo katikati kulikuwa na stori kwamba mimi natumia nyota yake, kwa hiyo nisingeweza kumshirikisha katika kazi yangu yoyote hata kama ni biashara ambayo ingempa pesa, ingeonekana nimetumia nyota yake… Huwezi kuona kazi yangu au changu chochote kinahusiana naWema kabisa.. Mimi nina timu, natumia nguvu nyingi kuifanya kazi yangu, ikionekana unatumia nyota ya mtu ni kama unaitukanisha.’>>> Diamond Platnumz.
Diamond amesema alikuwa Uganda kwenye show yake ambayo ilifanya poa sana, lakini kwa sababu alikuwa na mkataba wa show yake, alijikuta akishindwa kuhudhuria show yaZari All White Party.
Sauti ya Interview yote hii hapa mtu wangu, Diamond Platnumz na stori zote kwenye ‘Leo Tena

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...