Skip to main content

VYOMBO VYA GWAJIMA VYAWA GUMZO VIWANJA VYA RELI ARUSHA, AANZA MKUTANO LEO

Maandalizi yakiwa hatua za mwisho kukamilika hapo jana.
Ikiwa leo unatazimiwa kuanza rasmi mkutano mkubwa wa kiroho katika viwanja vya reli mkoani Arusha utakaoongozwa na kanisa la Ufufuo na Uzima chini ya askofu Jospehat Gwajima kiongozi wa kanisa hilo, tayari hapo jana wakazi wa eneo hilo na jirani walianza kukusanyika viwanjani hapo baada ya kusikia muziki wa kanisa hilo utakaotumika ukijaribiwa.

Kati ya watu waliosogea karibu ni pamoja na watumishi kutoka makanisa mbalimbali mkoani humo ambao hawakuacha kusema kwa muziki waliouona uwanjani hapo basi watu wataokoka kupitia muziki, ukiacha watumishi hao pia watu mbalimbali walionekana kujipanga wakiangalia ukubwa wa vyombo hivyo ambavyo vimening'inizwa kwenye vyuma maalumu na kujipanga sawia.

Kanisa hilo linafanya kwa mara ya kwanza mkutano mkubwa wa injili mkoani Arusha ambao unaanza siku ya leo tarehe 27 mpaka tarehe 10 mwezi ujao ukiwa na waimbaji mbalimbali akiwemo Flora Mbasha, John Lisu, Jackson Benty, Maximilian Machumu a.k.a Mwanamapinduzi, kundi la sifa na kuabudu la kanisa hilo wakifahamika kama Platform pamoja na waimbaji wengine, kisha mkutano huo utahamia mkoani Kilimanjaro.

Ufungaji vyombo ulipoanza, hapa vikishushwa kutoka katika malori yanayomilikiwa na kanisa hilo.
Vyombo vilipokuwa vikipandishwa.
Baadhi ya watumishi waliovutwa na kishindo cha muziki uwanjani hapo.
Baadhi ya mabasi ya kanisa hilo yakiwa yamepaki jijini Arusha.
Watu wakiwa wamejitokeza barabarani kusikiliza matangazo ya mkutano huo kupitia gari la matangazo. Picha zote kwahisani ya Ufufuo na Uzima.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...