Skip to main content

Tazama Pichaz 14 za Kilimanjaro Stars ilivyowasili uwanja wa ndege wa JKIA Dar baada ya kutolewa Challenge

Timu ya taifa ya Tanzania bara Kilimanjaro Stars imewasili Dar Es Salaam December 2 ikiwa ni siku mbili zimepita toka itolewe na timu ya taifa ya Ethiopia katika michuano ya mataifa ya Afrika Mashariki na kati maarufu kama CECAFA Senior Challenge Cup 2015Kilimanjaro Stars itolewa na Ethiopia katika hatua ya robo fainali kwa mikwaju ya penati 4-3 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya goli 1-1. Naomba nikusogeze pichaz 15 za timu ya taifa ya Tanzania Bara Kilimanjaro Stars ikiwasili uwanja wa ndegeDar Es Salaam.
DSC_0045
Himid Mao baada ya kuwasili
DSC_0177
Nahodha wa Kilimanjaro Stars John Bocco baada ya kutua Dar akielekea katika basi.
DSC_0175
John Bocco na kocha mkuu na msaidizi wake wakizungumza jambo
DSC_0159
Shomari Kapombe ndani ya basi la timu ya Taifa
DSC_0154
Hassan Kessy akipanda basi la Stars
DSC_0143
Mshauri wa Kilimanjaro Stars na kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa akisalimia na mdau
DSC_0136
Simon Msuva akiingia katika gari lake baada ya kuja kupokelewa na mdogo wake James Msuva.
DSC_0139
Msuva na Jonas Mkude katika gari tayari kwa kuondoka Airport
DSC_0122
Kocha wa Kilimanjaro Stars King Kibadeni akifanya interview na waandishi
DSC_0116
Kocha msaidizi Juma Mgunda na kocha mkuu wa Kilimanjaro Stars King Kibadeni wakiwasili
DSC_0059
Elias Maguli mtaalam wa kucheka na nyavu baada ya kuwasili
DSC_0080
Golikipa wa Mtibwa Sugar na Kilimanjaro Stars Said Mohamed akiwasili na begi lake
DSC_0091
Kiungo wa Yanga na Kilimanjaro Stars Salum Telela

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...