Siku zote katika mapenzi hakuna kitu kizuri kama
kuridhishana hususan katika tendo la ndoa, ukweli uliopo ni rahisi sana kwa
mwanaume kuwahi kufika kileleni kuliko mwanamke hii inatokana na sababu... nyingi
kwa upande wa mwanaume suala la kuwahi kumaliza mapema linaweza kusababishwa na
tatizo la nguvu za kiume na kukurupuka katika tendo kwa maana ya ........
kuwahi kumuingilia mwanamke bila kufanya Romans/maandalizi ya kwanza kabla ya tendo na kwa upande wa wanawake suala la kuchelewa kufika kileleni ni asili yao kutokana na jinsi walivyoumbwa ila napenda ifahamike kuwa pamoja na wanawake kuumbwa hivi ila
kuwahi kumuingilia mwanamke bila kufanya Romans/maandalizi ya kwanza kabla ya tendo na kwa upande wa wanawake suala la kuchelewa kufika kileleni ni asili yao kutokana na jinsi walivyoumbwa ila napenda ifahamike kuwa pamoja na wanawake kuumbwa hivi ila
unauwezo wa kumfanya afike kileleni mapema kwa kuzingatia maandalizi ya awali kabla ya tendo inabidi utumie muda mwingi katika kumuandaa mpenzi wako kwa kumtomasa sehemu husika ili iwe njia rahisi ya wewe kumridhisha na kumfanya afike katika kilele cha raha.
ZIFUATAZO NI DALILI KUU ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKA
KILELENI:
1. Dalili ya kwanza inayomuashiria mwanamke anapotaka kufika
kileleni ni ya kupiga mayowe/kelele, hii ni dalili kubwa kwa wanawake wengi
napozungumzia dalili hii sina maana kwamba ya kupiga kelele za fujo ila kelele
zinazopigwa ni zile za raha zilizoambatana na Miguno ya kimahaba kama alikuwa
anatoa sauti ya chini ghafla utaanza kuona anapandisha na kuikuza sauti. Pia
kuna wanawake wengine hujikuta wakiropokwa maneno pindi raha zinapozidi,
2. Dalili nyingine ya pili inayoweza kukusaidia kumtambua
mwanamke anapotaka kufika kileleni ni hii wanawake wengi hubainika kufika
kileleni pindi raha zinapo wazidia na wanapo kojoa (Bao) huwakumbatia wapenzi
wao kwanguvu na kuwavuta hutumia nguvu nyingi kuwakumbalia wapenzi wao mpaka
wanapomaliza kukidhi haja yao katika hili pia unaweza kumuona mwanamke mwingine
anafikia mpaka hatua ya kukung'ata meno ila fahamu zote zinakuwa ni raha
anajikuta anafanya vitu bila kutarajia.
Comments
Post a Comment