Skip to main content

Hichi ndicho chanzo cha kifo cha Mzee gurumo

Watoto wa marehemu wakiwa
katika majonzi na huzuni baada ya
kumpoteza baba yao ambaye
amafariki dunia tarehe 13 april
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
baada ya kusumbuliwa na matatizo
ya moyo kwa kipindi kirefu.
Pia mdogo wa marehemu
Ramadhani Mwishehe na Mtoto
Mwalim Muhidin Gurumo
walizungumza na sammisago,com
wakielezea juu ya kifo cha Muhidin
Gurumo maarufu kama Mzee
Gurumo na mazishi
yatakapofanyika Kisarawe Masaki
“Baba yetu aliugua kwa muda
mrefu sana anaugua anapata nafuu
anaugua anapata nafuu siku ya
mwisho jana saa kumi na moja
alfajiri alizidiwa pumzi ilikuwa
zimembana tukampeleka Hospitali
Muhimbili pale, leo hii saa nane
mchana ndiyo anaaga dunia  na
prosesi za mazishi zitakuwa kesho
saa tano asubuhi na atazikwa
Masaki uzaramuni” Mtoto wa
Marehemu Mwalim Mwidin
Ngurumo.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...