Skip to main content

MAMA KIKWETE AKIZINDUA MRADI WA MAFUNZO YA GESI NA MAFUTA YA PETROLI VETA LINDI

picha no. 1Mke wa Rais Mama Salma Kikwete  (aliyevaa kitenge)akiwapungia mkono  wanafuzi wa  Chuo cha  Mafunzo ya Elimu ya Ufundi  Stadi(VETA) , Lindi kabla ya kuzindua mradi wa mafunzo ya gesi na mafuta ya Petroli jana mkoani Lindi.Kulia ni  Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi Zebadiah  Moshi na  wa pili Kushoto  ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick   Mwananzila na kushoto wa kwanza ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Dk. Nassoro  Hamidi.(Picha zote na Magreth Kinabo- Maelezo).picha no. 2Mke wa Rais Mama Salma Kikwete  (aliyevaa kitenge) akipata maelekezo kutoka kwa mwanafunzi wa Chuo cha  Mafunzo ya Elimu ya Ufundi  Stadi (VETA), Edwin  Nduguru(kushoto) jinsi deep stick inavyofanya kazi ya kupima kiwango cha oil kilichopo katika injini ya gari alipotembelea karakana ya ufundi wa magari wa chuo hicho jana. Wanaoshuhudia tukio hilo ni  Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi Zebadiah  Moshi (kulia) , Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick   Mwananzila (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Dk. Nassoro  Hamidi (kushoto).picha no. 3JPGMke  wa Rais Mama Salma Kikwete  (aliyevaa kitenge ) akiongea jambo  na  Meneja wa  British  Gesi Tanzania ambao ndiyo wafadhili  wa mradi wa mafunzo ya gesi na mafuta ya Petroli, Kate Sullam (kushoto) jana  kwenye   Chuo cha  Mafunzo ya Elimu ya Ufundi  Stadi(VETA) , Lindi .Kulia ni  Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi Zebadiah  Moshi .picha no. 4Mke wa Rais  Mama Salma Kikwete  akitoa hotuba yake kabla ya kuzindua mradi wa mafunzo ya gesi na mafuta ya Petroli jana  kwenye Chuo cha  Mafunzo ya Elimu ya Ufundi  Stadi(VETA)  Lindi . Kulia ni  Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi Zebadiah  Moshi na Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick   Mwananzila.picha no. 5Mke wa Rais  Mama Salma Kikwete  akikata utepe  ikiwa ni ishara kuzindua mradi wa mafunzo ya gesi na mafuta ya Petroli jana  kwenye Chuo cha  Mafunzo ya Elimu ya Ufundi  Stadi(VETA)  Lindi . Kulia ni  Mkurugenzi Mkuu wa VETA,  Mhandisi Zebadiah  Moshi na Kushoto wa tatu  ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick   Mwananzila, kushoto ni Afisa Uhusiano wa chuo hicho Dora Tesha.picha no. 6Mke wa Rais Mama Salma Kikwete  (aliyevaa kitenge)akiwa  katika picha ya pamoja  na baadhi ya viongozi   na wanafunzi  wa  Chuo cha  Mafunzo ya Elimu ya Ufundi  Stadi(VETA), Lindi  mara baada ya kuzindua mradi wa mafunzo ya gesi na mafuta ya petroli.picha no. 7Mwanafunzi wa  wa  Chuo cha  Mafunzo ya  Elimu ya Ufundi  Stadi(VETA), Lindi akimwonesha    Mke wa Rais Mama Salma Kikwete  (aliyevaa kitenge)  jana  kifaa cha kukata vyuma   katika karakana ya uungaji  vyuma.picha no. 8Mwanafunzi wa  wa  Chuo cha  Mafunzo ya  Elimu ya Ufundi  Stadi (VETA), Lindi akimwonesha    Mke wa Rais Mama Salma Kikwete  (aliyevaa kitenge)  jana  kifaa cha  ufundi wa magari katika karakana ya ufundi wa magari.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...