Skip to main content

Everton, Liverpool zitatesa msimu huu?



LONDON, ENGLAND
KUNA mabadiliko makubwa katika klabu za Mashariki ya England  katika misimu miwili iliyopita. Klabu nne kubwa za majiji ya Liverpool na Manchester, zote zimebadilisha makocha katika kipindi cha miezi 15 iliyopita.
Brendan Rodgers amekabidhiwa jukumu Liverpool, Roberto Martinez ametua Everton, huku David Moyes akienda Manchester United na Manuel Pellegrini yuko Manchester City. Wote wapo katika kipindi cha awali cha kuzoea maisha katika klabu hizo mpya.
Tayari mwanzo wa msimu huu katika mbio za ubingwa, kumeanza kuonyesha mabadiliko kwa upande wa matokeo. England imeanza kushuhudia kuzaliwa upya kwa klabu za Jiji la Liverpool na kuondoka kwa utawala wa klabu za Manchester.
Rodgers na Liverpool
Rodgers aliwasili Liverpool akitokea Swansea City msimu uliopita. Ameifanya Liverpool kuwa timu inayocheza pasi nyingi na kukaa zaidi na mpira.
Mpango wake unaonekana umefanya kazi nzuri hasa katika nusu ya pili ya msimu uliopita na mwanzoni mwa msimu huu.
Kuhusu ubora wa kikosi chake si tatizo, lakini swali lililobaki ni jinsi gani Rodgers ataifanya Liverpool kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya mwakani?
Msimu huu ameanza kwa kishindo na sasa anakamata nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu. Kama Liverpool itamaliza katika nne bora msimu huu, Rodgers atakuwa amewajibu kwa vitendo waliokuwa wakimbeza.
Martinez na Everton
Ndiyo kwanza ameanza kazi yake na kufanikiwa kusajili wachezaji wachache katika siku ya mwisho ya usajili, hivyo ni mapema kuanza kumhukumu Martinez.
Everton inaonekana inacheza soka la kasi na kutengeneza nafasi nyingi zaidi baada ya kuwa chini yake.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...