Skip to main content

CRDB BENKI YAADHIMISHI WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA JIJINI ARUSHA

Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa (kushoto) akiwaongoza wafanyakazi wa benki hiyo kuwakaribisha wateja wa benki hiyo.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, wakiwakaribisha wateja wa benki hiyo kwa kuwafungulia Champagne.
 Wafanyakazi
wa Benki ya CRDB tawi la Arusha wakiwakarisha wateja wa benki hiyo ikiwa ni
sehemu ya maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika jijini Arusha
Wafanyakazi
wa Benki ya CRDB tawi la Arusha wakiwakarisha wateja wa benki hiyo ikiwa ni
sehemu ya maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika jijini Arusha
 
 Wafanyakazi
wa Benki ya CRDB tawi la Arusha wakiwakarisha wateja wa benki hiyo ikiwa ni
sehemu ya maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika jijini Arusha
 Mkurugenzi
wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa (kushoto) akiwaongoza wafanyakazi
wenzake kuwapa Champagne wateja wa benki hiyo ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya
Huduma kwa Wateja iliyofanyika jijini Arusha.
 Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa akiwahudumia wateja wa benki hiyo wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja. 
 Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa akimuhudumia mteja.
 Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa akiongea na waandishi wa habari.
 Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa akiwa na Meneja Uhusiano wa benki hiyo, Godwin Semunyu.
Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu (kushoto) akiwa na wadau wa benki hiyo. 
Mkurugenzi
wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa akiwapa vinywaji baadhi ya wateja waliofika
katika tawi la benki hiyo ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja
iliyofanyika jijini Arusha
Keki maalum iliyoandaliwa na Benki ya CRDB tawi la Arusha kwa ajili ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
 Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa
akikata keki wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika
jijini Arusha.
 Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa
akimlisha keki mmoja wa wateja waliofika katika tawi la benki hiyo jijini
Arusha, jana wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
 Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa
akimlisha keki Meneja wa Biashara za Benki, Jenipher Tondi wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika jijini Arusha.
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya CRDB, wakiwa katika picha ya pamoja.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...