HIVI NDIVYOO MAELFU WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA MAREHEMU JOHN GABRIEL TUPA
WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA
KUTOKA KUSHOTO KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MARA POUL KASABAGO,M NEC WA CCM CHRISTOPHER GACHUMA,M NEC WA BUNDA CCM...
KUTOKA KUSHOTO MWAKILISHI WA CHANEL TEN AUGUSTINE MGENDI,GEORGE MARATU WA ITV NA FLORENCE FOCAS WA MWANANCHI
MWENYEKITI WA BAKWATA MUSOMA MJINI AKIWA NA ASKOFU MSONGANZILA WA KANISA KATORIKI
RAIS WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA KENETH SIMBEYA AKITOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI
MTOTO WA MAREHEMU AITWAYE GABRIEL JOHN TUPA AKITOA SHUKURANI
MJANE WA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALIKUWA MMOJA WA WAOMBOLEZAJI
ASKOFU MSONGANZILA AKIWEKA SAHIHI KWENYE KITABU CHA WAOMBOLEZAJI
AKIAGA MWILI
MMOJA WA WAANDISHI WA HABARI NGULI BIGAMBO JEJE AKIAGA MWILI
SEHEMU YA WAOMBOLEZAJI WAKIENDA KUAGA MWILI
MKURUGENZI
WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA ABUBAKAR KARSAN MWENYE MIWANI
HUKU NYUMA YAKE NI MADARAKA NYERERE NAO WAKIAGA MWILI
MGENDI WA CHANEL TEN AKIWAJIBIKA KUWAPA WATANZANIA TAARIFA
WANAFUNZI WA SHULE PIA WALIHUDHULIA
NAMI NILIMUAGA MKUU WA MKOA JOHN TUPA,KWA KWELI NI PIGO
ASKARI KARIM AKIWA KWENYE GARI LILILOBEBA MWILI WA MAREHEMU
MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA LIKIWA KWENYE GARI MAALUMU UKITOKA KWENYE MAKAZI YAKE KWENDA KANISANI
MWILI UMEPOKELEWA LANGO KUU LA KANISA KATORIKI
MKE WA JOHN TUPA WA PILI KUTOKA KUSHOTO AKIWA NA WANAFAMILIA KANISANI
MAELFU ya
wananchi wa mkoa wa Mara pamoja na mikoa jirani wakiongozwa na viongozi
wa Serikali,Dini na vyama vya Siasa wameuaga mwili wa aliyekuwa mkuu wa
mkoa wa Mara John Gabriel Tupa aliyefariki juzi asubuhi akiwa
wilayaniTarime kwa shughuli za kikazi.
Akitoa salamu za rambirambi za Serikali mkoani Mara,Kaimu Katibu Tawala wa mkoa wa Mara Bartazal Kichinda alisema walipokea kwa masikitiko makubwa msiba wa ghafla wa mkuu wa mkoa wa Mara John Gabriel Tupa kwa kuwa msiba huo umekuja wakati mchango na usaidizi wa kiongozi huyo ukiwa unahitajika zaidi mkoani Mara.
PICHA NA HABARI
KWA HISANI YA SHOMARI BINDA
Comments
Post a Comment