Umati wa watu wakisubiri kutambua
maiti za watu waliofariki katika ajali ya basi la Majinja Express katika
chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya wilaya Mufindi.
Baadhi ya ndugu waliopoteza ndugu
zao katika ajali ya basi la Majinja Express wakilia kwa uchungu mara
baada ya kujua kuwa moja wa ndugu zao wamefariki dunia.
Mmoja wa majeruhi ambaye jina lake halijatambulika akiwa katika hospitali ya wilaya Mufindi kwa matibabu zaidi.
Mmoja wa majeruhi ambaye hali yake
mbaya akipakizwa katika gari la wagonjwa kupelekwa kwa matibabu zaidi
hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa kwa matibabu zaidi.
Umati wa watu wakiwa katika eneo
la tukio mara baada ya ajali kutokea eneo tukio ambapo ajali ya basi la
Majinja limepoteza watu 42 katika ajali hiyo.
(Picha na Denis Mlowe)
Comments
Post a Comment