Skip to main content

TIZAMA PICHA NA MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AKIWA ZIARANI KARATU

IMG_0052Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza katika Mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika uzinduzi  wa Maktaba ya Shule ya Sekondari ya Banjika wilayani Karatu Septemba 20, 2013.  Katikati ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya makzi, Profesa Anna Tibaijuka. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu) IMG_0105 1Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo yaMkazi, Profesa Anna Tibaijuka  wakitembelea maktaba yaShule ya Sekondari ya Banjika  ya wilayani Karatu ambayo ilizinduliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Septemba 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0136Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Tangi la Maji  katika Kijiji cha Gykrum Arusha wilayni Karatu Septemba 20, 2013. Wapili kushoto ni mkewe Tunu na kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya  Makazi, Profesa Anna Tibaijuka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0164Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na Mkewe Tunu  (kushoto) wakipata maelezo  Kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji  Safi na Maji Taka wa Arusha, Bibi Ruth kuhusu  ujunzi wa tangi la Maji katika kijiji cha Gykrum Arusha wilayani Karatu baada ya kuweka jiwe la Msingi la mradi huo Septemba20, 2013.   Kushoto kwa Waziri Mkuu, ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa, Anna Tibaijuka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0177Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama uchimbaji wa kisima kirefu cha maji  unaofanywa na wakala serikali wa Uchimbaji visima katika eneo la Bwawani wilayani Karatu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0194Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasalimia wananchi wa  Mbulumbulu baada ya   kuzindua  Kituo cha Afya cha Kambi ya Simba wilayani Karatu Septemba 20, 2013. Kulia ni mkewe Tunu na kulia kwake ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0249Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanakwaya wa Shule ya Sekondari ya Awet wilayani Karatu baada ya kuwahutubia wananchi katika mkutano  uliofanyika shuleni hapo Septemba 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Baadhi ya wananchi wa Karatu waliohudhuria mkutano wa hadhara  uliohutubiwa na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  mjini Karatu wakimsikiliza Waziri Mkuu, wakati alipowahutubia Septemba 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...