Skip to main content

Wamiliki wa vyombo vya habari waaswa kuwapa fursa ya safari waandishi wa habari

PIX 4Viongozi hao wakiwa wakielekea kwenye ukumbi kwa ajili ya kushiriki hafla ya kumuaga aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Seth Kamuhanda (katikati). Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Siaba Nkinga na kushoto ni Naibu wake Profesa Elisante Ole Gabriel. PIX 5Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi wa hafla hiyo Bw. Seth Kamuhanda iliyofanyika jijini Dar es Salaam. PIX 6Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Seth Kamuhanda akihutubia wakati wa hafla ya kuagwa kwake iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. PIX 7Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Siaba Nkinga akimkabidhi zawadi aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw. Seth Kamuhanda. PIX 8Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Seth Kamuhanda (aliyesimama katikati) akiifurahia zawadi aliyopewa na Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo katika hafla iliyoandaliwa na Wizara hiyo. Kushoto ni Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo Bi. Siaba Nkinga na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel. Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam. PIX 9Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Seth Kamuhanda (kushoto) pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel wakiangalia kwa furaha zawadi aliyokabidhiwa Bw. Kamuhanda kwenye hafla ya kuagwa kwake. PIX 10Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akikabidhiwa zawadi. PIX 11Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Seth Kamuhanda (wa tatu toka kulia mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.

PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO, DAR ES SALAAM
Na Eleuteri Mangi.
WAMILIKI  wa vyombo vya habari nchini wameaswa kuwajengea mazingira mazuri waandishi wa habari wa vyombo vyao ili waweze kuhabarisha umma wa Watanzania mambo mbalimbali yanayotokea ndani na nje ya nchi kwa kuzingatia weledi wa taaluma yao.
Rai hiyo imetolewa na Katibu Mkuu aliyemaliza muda wake wa kuitumikia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Seith Kamuhanda jana alipokuwa anaagwa na watumishi wa wizara hiyo katika hafla iliyofanyika kwenye Uwanja wa Michezo wa Taifa jijini Dar es Salaam.
“ Wamiliki wa vyombo vya habari wajenge mazingira mazuri ya kuwawezesha waandishi wa habari kusafiri ndani na hata nje ya nchi. Kwa kufanya hivyo unawapa fursa nzuri ya kujifunza mambo mengi ya kuihabarisha jamii ya Watanzania.
“Mwandishi asiye safari anakuwa na uelewa finyu wa mambo kwani ni jambo la msingi ajue nchi nyingine mambo yanaendaje ili aweze kulinganisha na maendeleo ya nchi yetu,” alisema Kamuhanda.
 Kamuhanda alisema kuwa wamiliki wa vyombo vya habari kuwapa fursa waandishi wa habari kusafiri  hilo ni jukumu lao la kwanza.
Kamuhanda aliongeza kuwa hata yeye alipokuwa mwandishi wa habari alijifunza mambo mengi alipokuwa akisafiri ndani na nje ya nchi, kwani kusafiri kunapanua mawazo na kuwa na uwezo mpana “exposure” wa kupambanua mambo juu ya nini cha kuandika na kuuhabarisha umma kulingana na maadili ya uandishi wa habari.
Aidha, Kamuhanda aliwaasa wamiliki na waadishi wa habari kuutumia vizuri uhuru wa vyombo vya habari uliopo hapa nchini. Sanjari na hilo, aliviasa vile vinavyokiuka miiko na maadili ya habari na kutumia vibaya uhuru huo vitambue kuwa wote wapo kwa ajili ya kuiletea sifa nzuri nchi yetu.
Kwa upande wake Katibu Mkuu wa sasa wa Wizara hiyo, Sihaba Nkinga amempongeza Katibu Mkuu huyo aliyemaliza muda wake kwa kuitumikia Wizara hiyo kwa uaminifu kwa   kipindi  cha  wa miaka minne.
Sihaba alisema kuwa Wizara anayoiongoza itaenzi kwa kusimamia na kuendeleza mambo aliyoanzisha Kamuhanda ikiwemo kudumisha umoja wa watumishi katika wizara na taasisi zake.
Naye Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni Profesa  Hermans Mwansoko akitoa neno la shukrani kwa Kamuhanda  kwa niaba ya wafanyakazi alisema wizara hiyo  itamkumbuka Kamuhanda kwa mpango wa kuwa na ofisi ya uhakika Dodoma, kuanzisha Bodi ya Filamu, kujali afya na uzima wa watumishi na kujali suala la jinsia katika ngazi za maamuzi ndani ya Wizara.
Kamuhanda alikuwa  Katibu Mkuu wa Wizara hiyo  na kufanya kazi chini ya Mawaziri George Mkuchika, Naibu wake Joel Bendera, Dkt. Emmanuel Nchimbi, Naibu wake Fenella Mkangara.
Hadi mabadiliko ya nafasi za makatibu wakuu yalipotokea   hivi karibuni alifanya kazi chini ya Waziri Fenella Mkangara Naibu wake akiwa Amos Makala.

Comments

Popular posts from this blog

ANGALIA VIDEO YA MWANAMKE AKIZINI NA CHUPA YA SODA YANASWA

 Katika  hali  ya  kushangaza  na  kuashiria  miisho  ya  dunia, binti  mmoja  amenaswa  " live " akifanya  mapenzi  na  CHUPA YA SODA. Katika  video  hiyo, binti  huyo  anaonekana  akitoa  ushirikiano  wa  kutosha  mithili  ya .............

HUYU NDIYE ALIIYELAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA PAMOJA NA FARASI KWA AJILI YA PESA.

When the Internet first came to the continent of  African society,most people were  very pleased with it because it reduces stress of communication with love around the world,it also serve as productive purposes like communication.It served many people for chatting, sending mails and even business. As the time passed by many ladies discovered that they could use the internet to find a chat friend or a life partner.Some girls have greatly benefited just by using the internet to find their dream marriages or relationhsips. Others have fallen into traps in the West and wish they would never have known what the internet was.This is the case of one Cameroonian,Elvire Axelle Tchamakoua. Continue....... SEE HOW IT ALL HAPPEN.... Axelle is pr00stit-te who is pimped to various men by her main man Jean Claude(French Businessman).She did not mind serving her customers from the front or from behind.The use of condoms during her encouters was the allowed as it b

HAYA NDO MANENO YA KUMPANDISHA hisia MPENZI WAKO UMPENDAE!!!!!

                                       Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza  kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidog