Skip to main content

CHEGGE, SHETTA WAKIONA AIRPORT

WAKATI mwanasoka Joseph Kaniki ‘Golota’, bondia Karim Matumla na msanii Agnes Gerald wakifikishwa mahakamani juzi (Jumatano) katika nchi mbili tofauti barani Afrika, wana Bongo Fleva maarufu nchini, Chegge Chigunda na Hassan Bilal ‘Shetta’, Jumanne iliyopita walikiona cha moto baada ya kuhisiwa kubeba ‘poda’ na hivyo kufanyiwa upekuzi mkali katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.
Habari zilizopatikana juzikati zinasema, Chegge na Shetta walisafiri salama kwa boti kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar wakiwa safarini kuelekea Mombasa walikoalikwa kwa ajili ya shoo.
“Wale askari wa uwanjani baada ya kuwaona wasanii hao waliwatilia shaka kwa nini wapandie ndege Zanzibar badala ya Dar es Salaam, wakahisi wamebeba mzigo, basi walifanyiwa upekuzi mkali, mizigo yao ilitolewa kila kitu, kwa kweli walihenya ile mbaya.
Shetta.
“Lakini kitu cha kushangaza ni kwamba waliopekuliwa namna hiyo ni wao tu, watu wengine walisachiwa kidogo na kuachiwa wapite. Pamoja na kwamba ni vita nzuri ya kupambana na mihadarati lakini wakati mwingine ni ‘too much’,” kilisema chanzo chetu kilichoshuhudia tukio hilo.
Chegge.
Hata hivyo, baadhi ya mashuhuda walisema Chegge na Shetta walisafiri kwa boti hadi Zanzibar na baadaye kupanda ndege kuelekea Mombasa kwa vile ipo ndege inayokwenda na kurudi baina ya miji hiyo miwili tu ya pembezoni mwa Bahari ya Hindi.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...