Skip to main content

Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi

Ikiwa ni zaidi ya wiki moja toka mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Arnold Peraltaitangazwa kauwawa kwa risasi,...................
December 28 mitandao mingi ya Ulaya imeripoti kifo cha staa mwingine wa soka aliyeuwawa kwa kupigwa risasi. December 27 aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya El Salvador Alfred Pacheco ameuawa kwa kupigwa na risasi wakati akiwa katika kituo cha mafuta cha mji wa Santa Ana.
28pacheco
 Alfred Pacheco ambaye alikuwa anamudu kucheza nafasi ya beki wa kushoto alipigwa risasi na watu wengine wawili wakijeruhiwa katika shambulio hilo ambalo maafisa usalama bado wanachunguza tatizo ilikuwa lipi.  Alfred Pacheco amecheza muda mrefu zaidi kwenye timu yake ya taifa na amewahi kuchezea vilabu tofauti tofauti ikiwemo New York Red Bulls ya Marekani.
3036523707_6abffe066c (1) (1)
Tukio hili linakuja ikiwa ni wiki kadhaa zimepita toka auwawe kwa kupigwa risasi mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Peralta akiwa mapumziko nyumbani kwao Honduras. Kama utakuwa unakumbuka vizuri  Pacheco alifungiwa maisha kucheza soka kutokana na kashfa ya kupanga matokeo mwaka 2010-2013 pamoja na wachezaji wengine 13.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...