Dec 28 2015 Baraza la Mawaziri la Serikali ya awamu ya tano limekamilika baada ya..............
Mawaziri watano na Naibu Waziri mmoja kula viapo, Shughuli imefanyika Ikulu Dar es salaam ikiongozwa na Rais John Pombe Magufuli.
Mawaziri watano na Naibu Waziri mmoja kula viapo, Shughuli imefanyika Ikulu Dar es salaam ikiongozwa na Rais John Pombe Magufuli.

Prof. Jumanne Maghembe-Waziri Maliasili na Utalii

Prof. Makame Mnyaa Mbarawa-Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano

Mhandisi Gerson Lwenge-Waziri wa Maji na Umwagiliaji

Dkt. Philip Mpango-Waziri wa Fedha na Mipango

Dkt. Joyce Ndalichako-Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi

Hamad Masauni-Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Hapa chini nimekuwekea sauti yote wakati Mawaziri na Manaibu wakila viapo, unaweza kubonyeza Play>
Comments
Post a Comment