Skip to main content

Sadaka ya Mkesha wa Mwaka Mpya kuweka umeme Tabora



Kanisa la ‘Tanzania Fellowship of Churches’ ambao ndio waandaaji wa mkesha mkubwa kitaifa wa mwaka mpya wa 2016 limeeleza kuwa fedha zitakazotokana na sadaka za................ siku hiyo zitaelekezwa kusaidia upatikanaji wa nishati ya umeme wa jua ya Solar Power katika hospitali mbalimbali za Tabora vijijini.

Mkesha huo utakaofanyika usiku wa Desemba 31 mwaka huu, kwenye uwanja wa Uhuru utajumuisha Watanzania wote bila ya kujali dini, kabila wala rangi, kwa lengo la kufanya dua maalum la kuliombea Amani Taifa la Tanzania ikiwa ni mwaka wa 18 tangu kuanza kufanyika mikesha hiyo.

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Mkesha huo, Askofu Godfrey Malassy amesema kuwa wametambua shida wanazozipata wakinamama wa Tabora vijijini kwa kujifungua katika giza na hata kusababisha vifo hivyo wanadhamiria kupeleka michango hiyo kununua Solar kwa kusaidia kupunguza adha hizo.

“Zipo njia nyingi za kukusanya michango hii na kuhakikisha inafika sehemu husika ikiwa ni pamoja na kwa njia ya simu, sadaka zitakazokusanywa uwanjani na watu kununua vitabu vya “IJUE SIRI YA AMANI KWA TAIFA” vitakavyomwezesha mtanzania kutambua jinsi gani nchi yetu inaweza kuishi kwa amani” amesema Askofu Mallassy.

Mallasy amesema kuwa Mgeni rasmi wa usiku wa mkesha huo anatarajiwa kuwa rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...