Skip to main content

Noti Bandia Zawaliza Wafanyabiashara Msimu wa Christmas

Misimu wa sikuu za Christmas na Mwaka Mpya ilikuwa na neema kwa wafanyabiashara wengi nchini lakini iliacha vilio vya utapeli kwa baadhi wa wafanyabiashara hususan maeneo ya pwani waliojikuta wametoa mali halali na kupewa fedha bandia.

Baadhi ya wamiliki wa Maduka na watoa huduma za simu pesa wilayani Kibaha mkoani Pwani wamepata hasara kubwa baada ya kusambaa kwa noti bandia za shilingi 10,000 katika eneo hilo katika msimu wa sikukuu hizo.

Eneo la Maili Moja na Kibaha ndio maeneo yanayodaiwa kuathirika zaidi na udanganyifu huo wa kutumia noti bandia.

Mmoja kati ya wafanyabiashara wa Bar, Lubul Lebulu aliwaambia waandishi wa habari kuwa alibaini kuwa alipoteza shilingi 120,000 wakati akifunga mahesabu yake ya sikukuu ya Christmas baada ya kubaini kuwa kuna noti bandia zilizokuwa zimechanganywa na fedha halali.

“Kuna mzunguko mkubwa wa noti bandia hapa katika eneo letu. Sio mimi pekee, wafanyabiashara wengi wamepata hasara kama hii. Watu wanapaswa kuwa makini zaidi kwa sababu suala hilo limeshabainika,”alisema Lubul.

Kamanda wa polisi mkoa wa Pwani, Boniveture Munishogi alisema kuwa jeshi hilo linamshikilia kijana mmoja kuhusiana na tuhuma za kujihusisha na udanganyifu wa kutumia noti bandia. 

Aliwataka wananchi wote kuhakikisha wanaripoti polisi haraka pale wanapoona noti bandia ili kulisaidia jeshi hilo kufuatilia na kuchukua hatua.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...