Wizara ya habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ilitangaza kuwa wasanii wa Tanzania kuanza kulipwa pindi nyimbo zao zina
pochezwa katika vituo vya Redio na Tv.
Januari 5 2016 wasanii walikutana kulijadili suala hilo, na haya ndio maamuzi waliyoafikiana.
Comments
Post a Comment