Skip to main content

MBUNGE WA ARUSHA MJINI AMESHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA ARUSHA SECONDARY. HABARII ZAIDI PITIA HAPA....

ARUSHA SECONDARY YAITAJI MAKTABA INAYOGHARIMU SH: MILIONI 4000
 
 
 
Kutoka kushoto ni Mtangazaji wa Channel Ten Kipindi cha Mimi na Tanzania Bi Hoyce Temu aliwahi kuwa kushiriki mashindano ya  Miss Tanzania akiteta jambo na Katibu wa CHADEMA  mkoa wa Arusha  Bwana Amani Gulugwa katika maadhimisho ya miaka 50 tangu shule hiyo ianzishwe mwaka 1963 ,wawili hao waliwahi kusoma elimu yao ya sekondari katika shule hiyo kongwe, shughuli hiyo iliambatana na uchangishaji wa fedha za ujenzi wa maktaba ya kisasa itakayogharimu kiasi cha shilingi milioni 4000.

Kutoka kushoto ni Mtangazaji wa Channel Ten Kipindi cha Mimi na Tanzania Bi Hoyce Temu aliwahi kuwa kushiriki mashindano ya Miss Tanzania akiteta jambo na Katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha Bwana Amani Gulugwa katika maadhimisho ya miaka 50 tangu shule hiyo ianzishwe mwaka 1963 ,wawili hao waliwahi kusoma elimu yao ya sekondari katika shule hiyo kongwe, shughuli hiyo iliambatana na uchangishaji wa fedha za ujenzi wa maktaba ya kisasa itakayogharimu kiasi cha shilingi milioni 4000
 

 

Wapili kutoka kushoto  ni Mbunge wa Arusha Mijini Bwana Godless Lema akisalimiana na Mwalimu mkuu wa shule ya Arusha Secondary  ,Joseph Malamsha mara baada ya kusoma risala yake na kumkabidhi Mgeni rasmi  wa kwanza kutoka kushoto ambaye ni Sifaeli Moleli katika maadhimisho ya miaka 50 tangu shule hiyo ianzishwe mwaka 1963 ,shughuli hiyo iliambatana na uchangishaji wa fedha za ujenzi wa maktaba ya kisasa itakayogharimu kiasi cha shilingi milioni 4000.

Wapili kutoka kushoto ni Mbunge wa Arusha Mijini Bwana Godless Lema akisalimiana na Mwalimu mkuu wa shule ya Arusha Secondary ,Joseph Malamsha mara baada ya kusoma risala yake na kumkabidhi Mgeni rasmi wa kwanza kutoka kushoto ambaye ni Sifaeli Moleli katika maadhimisho ya miaka 50 tangu shule hiyo ianzishwe mwaka 1963 ,shughuli hiyo iliambatana na uchangishaji wa fedha za ujenzi wa maktaba ya kisasa itakayogharimu kiasi cha shilingi milioni 4000.

 

 
 

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...