BY: MWANANCHI MWENYE UCHUNGU NA ELIMU YA TANZANIA
SERIKALI MNAWADHARAU WANANCHI KWA KIGEZO CHA KWAMBA HAWAWEZI KUSEMA AU KUFANYA LOLOTE NDIO MAANA MNAAMUA KUWAFELISHA WANAFUNZI WA FORM FOUR WATOTO WA WALALAHOI KWA KUWA MNAJUA WATOTO WENU HAWATADHURIKA NA HILI, MNAANDAA TAIFA GANI SERIKALI YANGU MNAOJIITA SIKIVU? WAZIRI WA ELIMU PIA UMEKOSEA SANA KWA KUSEMA MTAWAPA WANAFUNZI HAO NAFASI NYINGINE YA KUFANYA MTIHANI,HII SIO HOJA THABITI KWANI ISSUE SIO KUFANYA MITIHANI ISSUE NI KWANINI WAFELI KWA NAMNA HIYO.
SASA IMERIPOTIWA KUWA TUME IMEUNDWA NA WAZIRI MKUU KUCHUNGUZA CHANZO CHA MATOKEO MABAYA,JE TUME ITABADILISHA MATOKEO WAZIRI WANGU MKUU?JE HIZI ZERO AMBAZO NYINGI SIO ZA KWELI SITAISHA LINI?NAOMBA KWANZA MTENGANISHE SIASA NA TAALUMA KWANI HAVIENDANI HATA KIDOGO NI KAMA MAJI NA MAFUTA.
NAOMBA PIA USAHIHISHAJI WA MITIHANI IANGALIWE UPYA,PIA JARIBUNI KUANGALIA MITAALA YA ELIMU ,VITABU PIA VIMEKUWA VINGI SANA ,JARIBUNI KUONA JE VITABU GANI VINAENDANA NA MITAALA YA ELIMU
ANGALIENI PIA WANAFUNZI WA KUJITEGEMEA KWANI MMEKUWA MKIWAUMIZA SANA NA MFANO NINAO KABISA KWA MIAKA TAKRIBA MINNE, HIVYO MNAWAKATISHA WANAFUNZI TAMAA YA KUSOMA KABISA PLEASE JARIBUNI KUWA MAKINI ZAIDI.
KAMA MNAJUA WANAFUNZI HAWAWEZI KUFAULU KWA VIGEZO VYENU AMBAVYO HAVIJULIKANI BASI MSIWALIPIZE ADA YA MITIHANI KWANI INAONEKANA KAMA KUFELI KWA WANAFUNZI NI MTAJI MKUBWA SANA KWANI WANARUDIA MITIHANI KILA MWAKA NA CREDIT HAWAPATI KWA MKAO MMOJA.
MWISHO MKUMBUKE BAADHI YA WANAFUNZI WALIOTEGEMEA KUFAULU WAMEJIKUTA WAKIFANYA MAAMUZI YA KUJIUMIZA AU KUJIUA NA SERIKALI IWE MAKINI NA HILI, DAMU HII ITAWALILIA MAISHA YENU YOTE
MUNGU AWAGUSE MBADILIKE
MUNGU IBARIKI TANZANIA

Comments
Post a Comment