Skip to main content

HAZARD, DEMBELE, FELLAINI, KOMPANY, NA MASTAA WENGINE WATAISHANGAZA DUNIA WAKIFUZU KWENDA BRAZIL 2014

HAZARD, DEMBELE, FELLAINI, KOMPANY, NA MASTAA WENGINE WATAISHANGAZA DUNIA WAKIFUZU KWENDA BRAZIL 2014




Kuna miezi 14 imebaki mpaka kuanza kwa kombe la dunia nchini Brazil na kutoka kwenye matokeo ya michezo ya kufuzu mpaka sasa, tunaweza kutabiri timu mbili za juu kutoka kwenye kila kundi la brani ulaya.
Katika kila msimu wa kombe la dunia, kumekuwa kukiwepo na timu ambazo hazipewi nafasi kabla ya mashindano ambazo huja kufanya vizuri. Uruguay ilisafiri kwenda South Africa wakiwa kama underdog mwaka 2010 lakini uwezo walionyesha uliwashangaza wengi. Wakiwa kwenye kiwango bora kabisa katika hatua za mwanzo, na hatimaye wakaishi mikononi wa Uholanzi kwenye nusu fainali.

Swali la kawaida ambalo lnaulizwa ni timugani isiyopewa nafasi itakayowasumbua vigogo katika kombe la dunia lijalo. Kuna timu nyingi kama vile Colombia, mabingwa wa AFCON Nigeria, labda Japan, lakini timu ambayo inaaminika italeta usumbufu mkubwa bila shaka ni Ubelgiji.

Mapinduzi ya kizazi cha dhahabu cha soka la Ubelgiji:
Kizazi cha soka cha sasa cha Ubelgiji kinatajwa kutokea kwenye kipindi hiki wakiwa na lundo la wachezaji wenye vipaji vikubwa kwenye nafasi zote dimbani. Ukiacha wachezaji wanaoanza kwenye kikosi cha kwanza cha timu ya taifa, walio benchi karibia wote wanatajwa kuwa na thamani ya zaidi ya £10M. Rekodi yao kwenye cha hivi karibuni ni nzuri na kuvutia mno. Uimara wa timu yao upo kwenye maeneo yote muhimu.



Kwenye ulinzi:
Wanaonza: Jan Vertonghen, Daniel Van Buyten, Vincent Kompany/ Thomas Vermaelen, Guillaume Gillet.

Tangu ahame kutoka Ajax kwenda Spurs kipindi cha kiangazi kilichopita, nafasi ya Jan Vertonghen katika kikosi cha kwanza imekuwa sio swali. Akiwa na uwezo wa kucheza kama beki wa kati pamoja na nafasi ya kushoto, Vertonghen amecheza part kubwa sana katika ukuta wa Spurs msimu huu. Uwezo halisi wa Vertonghen uliwekewa kizuizi kwa majukumu ya ulinzi tu lakini ana uwezo mkubwa wa kushambulia na kufunga pamoja na kutengeneza nafasi kwa wenzie, angalia uwezo alionesha kwenye mechi dhidi ya Liverpool na Manchester United akifunga mabao muhimu.

Ukuta wa UBelgiji pia unaundwa na mchezaji mwengine kiraka aitwaye Guillaume Gillet. Mchezaji mwenye umri wa miaka 28 ambaye ana uwezo wa kucheza kama kiungo wa kati pia beki wa kulia, akicheza kwa kiwango kikubwa kwenye sehemu zote hizo. Goli lake dhidi ya Croatia katika mechi za kufuzu kombe la dunia, mwezi wa tisa mwaka jana, mchezo ulioisha kwa matokeo ya 1-1 lilionyesha ana msaada gani kwa timu yake.


Nafasi ya ulinzi ya kati ya Ubelgiji inaonekana kuwa imara anapocheza Van Buyten na Kompany katikati. Van Buyten amekuwa na wakati mzuri na Bayern Munich msimu huu, akicheza karibia kila mchezo kwa timu hiyo ya Ujerumani. Ameweza kuuleta ushirikiano wake na Dante kwa Kompany. Uelewano uliopo baina ya wawili hawa ni mzuri sana. Komapny, ambaye alishinda taji na City msimu uliopita ana uwezo wa kucheza kwa kiwango cha juu sana, uelewano wao na Buyten unafananishwa na Maldini-Nesta Partnership.


Nafasi ya kiungo:
Waanzaji: Mousa Dembele, Kevin Mirallas, Eden Hazard, Marouane Fellaini, Axel Witsel.

Jukumu alilopewa Mousa Dembele ndani ya Spurs ni tofauti na alilokuwa nalo Fulham. Martin Jol alimchezesha Dembele kama mchezeshaji wakati akiwa Fulham, wakati Villas boas amempa majukumu ya kiungo wa ulinzi. Kiwango cha Dembele kama kiungo mchezeshaji kilikuwa kizuri sana lakini majukumu mapya ya kiungo mkabaji yamezidi kumkamilisha Dembele, na ushirikiano wake aliounda na Scot Parker umekuwa na mafanikio sana kwenye kikosi cha Spurs. Namna anavyoutumia mwili wake na uwezo anakuwa kiungo mzuri sana wa ukabaji.

Wakati tunajadili kuhusu kiungo wa aina ya When we discuss about box-to-box kwenye soka la kisasa, tunaweza tukamuweka mtu kama Artuto Vidal, Yaya Toure na listi haitokamilika kama tutashindwa kumuweka, Marouane Fellaini. Kiungo mwenye miaka 25 anayeichezea, amekuwa tishio kubwa sana kwenye ligi kuu ya England, anaweza akasababisha hatari kwenye eneo lolote dimbani. Stamina alionayo, kasi, uwezo wa kupiga mipira mirefu imemfanya thamaniyake ipande mpaka kuwa £25M.
Kevin Mirallas ni tunda jingine linalopikwa pale Merseyside, kiungo ambaye ana uwezo wa kuchachafya ngome za wapinzani akitokea pembeni. Akicheza upande wa kushoto, Mirallas amekuwa na uelewano mkubwa na Fellaini, wakicheza wote kwenye klabu moja, uelewano wao unaleta taabu sana kwa wapinzani wao.

Manchester City, Manchester United na Chelsea walikuwa ladhi kulipa zaidi ya £30M kwa kiungo wa Lille, Eden Hazard mwaka jana. Baada ya tetesi za muda mrefu Hazard akaamua kujiunga na Chelsea kwa ada ya uhamisho wa £32.5M. Alipowasili Stamford Bridge, Hazard alionyesha kiwango kizuri na kuleta mabadiliko ndani ya timu chini ya kocha aliyetimuliwa Roberto Di Matteo. Jukumu la Hazard kwenye kikosi cha sasa cha Chelsea ni muhimu sana, hasa kwenye siku za hivi karibuni ameonyesha kiwango kizuri, akiisadiai timu yake kuendelea kuwa ndani ya FA Cup akifunga goli la kusawazisha dhidi ya Man United wiki mbili zilizopita pale Old Trafford.
Bado wana kiungo mwingine mwenye thamani ya £32.5M, anayeichezea klabu ya Russia Zenit, Axel Witsel. Zenit walilipa fedha nyingi sana kwa Benfica ili kumsajili Witsel, ingawa bado hajaonekana kuwa muhimu sana nchini Russia, bado anahesabika kama mmoja ya viungo bora barani ulaya wenye uwezo wa kubadilisha matokeo muda wowote dimbani. Timu kubwa barani ulaya zimeonyesha zipo tayari kulipa kiasi kisichopungua £25M kumtoa mbelgiji huyo kutoka Russia.


Ushambuliaji:
Muanzaji: Christian Benteke.
Ukiachana na Christian Benteke, Romelu Lukaku ni mshambuliaji mwingine ambaye anaweza akaanza kwenye kikosi cha kwanza, lakini kutokana uwezo mkubwa umaliziaji Benteke anaaza mbele ya kinda la Chelsea, kocha Wilmots amekuwa anapenda kumuanzisha mshambuliaji wa Aston Villa siku za hivi karibuni.

World Cup 2014:
Belgium kwa sasa ndio wanashika nafasi ya pili katika kundi A kuwania kufuzu kwenda Brazili, wakiwa na pointi 13 kwenye mechi tano walizocheza, wakiwa nyuma ya Croatia waliowazidi kwa tofauti ya mabao.
Ukiangalia ubora wa kikosi chao cha sasa, inategemewa kwamba Belgium wanaweza kufuzu kwenda Brazil. Ikiwa watafuzu, wakaenda na kufanya vizuri hata kufikia hatua ya nusu fainali haitowashangaza wengi kama ilivyotokea kwa Uruguay, South Korea au Turkey miaka nyuma, kutokana na ubora wa wachezaji waliojazana kwenye kikosi chao.

Comments

Popular posts from this blog

ANGALIA VIDEO YA MWANAMKE AKIZINI NA CHUPA YA SODA YANASWA

 Katika  hali  ya  kushangaza  na  kuashiria  miisho  ya  dunia, binti  mmoja  amenaswa  " live " akifanya  mapenzi  na  CHUPA YA SODA. Katika  video  hiyo, binti  huyo  anaonekana  akitoa  ushirikiano  wa  kutosha  mithili  ya .............

HUYU NDIYE ALIIYELAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA PAMOJA NA FARASI KWA AJILI YA PESA.

When the Internet first came to the continent of  African society,most people were  very pleased with it because it reduces stress of communication with love around the world,it also serve as productive purposes like communication.It served many people for chatting, sending mails and even business. As the time passed by many ladies discovered that they could use the internet to find a chat friend or a life partner.Some girls have greatly benefited just by using the internet to find their dream marriages or relationhsips. Others have fallen into traps in the West and wish they would never have known what the internet was.This is the case of one Cameroonian,Elvire Axelle Tchamakoua. Continue....... SEE HOW IT ALL HAPPEN.... Axelle is pr00stit-te who is pimped to various men by her main man Jean Claude(French Businessman).She did not mind serving her customers from the front or from behind.The use of condoms during her encouters was the allowed as it b

HAYA NDO MANENO YA KUMPANDISHA hisia MPENZI WAKO UMPENDAE!!!!!

                                       Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza  kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidog