Skip to main content

KALA GEREMAYA AIBUKA NA KUZUNGUMZIA JUU YA VIDEO YA NGOMA YAKE MPYA YA KARIBU DARAMBAYO ANAIACHIA KESHO BOFYA HAPA UJUE KASEMA NINI

BROTHERMAN ANATEMBEA TOKA KEKO KWA MIGUU
ANAKWENDA MLIMAN CITY KUNUNUA MKATE TU

hahahahaha HII NI BAADHI YA MISTARI INAYOPATIKANA KWENYE KARIBU DAR NGOMA YANGU MPYAAA UKIITAKA NENDA GOOGLE ANDIKA kala jeremiah ft ben pol karibu dar mp3 UTAIPATA BUREEEEE. YEEEEEEES KAZI NDO KWANZA INAANZA NAWASHUKURU WOOTE WANAOENDA SAWA NA MIMI MUNGU AWABARIKI SANA KESHO WALE AMBAO HAMNA VING'AMUZI MTAKIONA KIDEO HAPA HAPA KUPITIA PAGE HIII PA MOJA SANA

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...