Skip to main content

MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUWA MTANGAZAJI MZURII! KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPAA

MATAMSHI NI LAZIMA KUZINGATIA KATIKA UTANGAZAJI!
MWANDISHI WA HABARI NA MTANGAZAJI AMANI JAMES
Hili ni muhimu kabisa katika kazi ya utangazaji. Hapa tunazungumzia unavyoweza kutamka kwa ufasaha maneno hasa ikizingatiwa BBC inaaminika na wasikilizaji wake tangu zamani kuwa ina weledi wa lugha ya Kiswahili.
Haipendezi na utaonekana kichekesho ukichanganya L na R na hili la siku hizi linalowapa taabu kubwa vijana la H na A. Ama watu nane badala ya watu wanane.
Ni nzuri na si nzuli, habari na si abari. Wapo wanaotamka mathalan watu nane wameuawa .....Kiswahili hakikubali hilo, bali unachotakiwa kutamka ama kuandika ni watu wanane.
Jee ikiwa kwa idadi ya watu wawili ukikatisha kama ilivyo kwa nane utatamkaje? ni watu mbili! Hapana ni watu wawili.
Neno jingine linalowasumbua waandishi kuliandika na kulitamka ni dharura, wapo wanaoliandika na kulitamka dharula ni makosa kutumia dharula ila ni dharura. Hili ni muhimu kabisa.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...