Skip to main content

MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA ALAZA ROHO CHA CLOUDS RADIO,AJUTIA KUWA NA MAHUSIANO NA MWANAMZIKI MO RACKA! HABARI KAMILI BOFYA



 
Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds Radio, Loveness Malinzi ‘ Diva’ juzikati amefunguka kuwa, kosa kubwa alilowahi kulifanya kwenye maisha yake ni kummegea penzi mwanamuziki anayefahamika kwa jina la Mo Racka.
Diva alifunguka hayo ikiwa ni mara ya pili baada ya kufanya hivyo mwaka jana kupitia mtandao wa Twitter ambapo aliandika : “Kutoka kimapenzi na Mo Racka ni kosa kubwa ambalo nimelifanya, nilikuwa mdogo na nilitokea kumpenda mvulana mtanashati Dar, na kila msichana aliyekuwa akituona aliishia kusema ‘Mungu wangu’, ilikuwa balaa. Hata hivyo, sasa hivi tuko poa na ni marafiki sana.”…


Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...