Skip to main content

TAPELI ANAYETUMIA JINA LA WAZIRI LUKUVI AMTAPELI LOWASSA IRINGA



maofisa wa polisi mkoa wa Iringa
wakiweka mtego katika nje ya
ukumbi wa St Dominic ili kumnasa
tapeli huyo anayejiita ni mtoto wa
waziri Lukuvi na kutapeli watu
Tapeli anayetapeli watu maeneo
mbali mbali ya Tanzania kupitia jina
la waziri Lukuvi akiingizwa ktk gari maalum leo
Tapeli Jonathan Wiliam Lukuvi
feki akitiwa matatani askari kanzu Iringa
Mkuu wa mkoa wa Iringa Dkt
Christina Ishengoma ,askofu Dkt
Boaz Sollo na Waziri mkuu wa
zamani Edward Lowassa akimsikiliza
tapeli huyo akimpa maneno ya kitapeli Lowassa
Kijana huyo Tapeli akimsomesha
waziri Lowassa ukumbini kwa
kuahidi kuchangia 100,000 huku
akimwomba kumsaidia misaada zaidi
Hapa akipelekwa katika gari
maalum Hapa akiingizwa katika
Taxi tayari kwenda polisi
Kijana ambae amekuwa akiwaliza
watumishi mbali mbali wa umma na watu
binafsi kwa kutumia jina la waziri wa nchi
ofisi ya waziri mkuu sera na uratibu
wa bunge kijana Jonathan
Wiliam Lukuvi( si jina lake halisi)
amekamatwa katika hafla ya kanisa la
Overcomers FM akitaka kumtapeli waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa kupitia harambee hiyo.
Kijana huyo aliingia katika ukumbi
wa St.DOminic leo katika harambee ambayo mgeni rasmi alikuwa ni Lowassa na kupita mbele
na kutumia kipaza sauti kuzungumza
kuwa anaitwa JOnathan Wiliam Lukuvi
na ni mtoto wa waziri wa nchi ofisi
ya waziri mkuu sera na uratibu wa
bunge na kuwa amekuwa akimpigia
simu mara kwa mara Lowassa na hata
katika mkutano wake
wa Jangwani jijini Dar es Salaam
alipata kuzungumza na Lowassa na hivyo kuomba kutekelezewa ombi lake la msaada ambao hakuutaja.
Kutokana na utambulisho huo
baadhi ya watu waliopata kutapeliwa
na kijana huyo akiwemo mkurugenzi
wa Halmashauri ya Manispaa ya
Iringa waliweza kuguna hali iliyopelekea askari polisi kufunguka na kumtia mbaroni
kijana huyo ambae alikuwa akiweka mtego wa kumtapeli Lowassa na viongozi
wengine katika hafla hiyo .
Hata hivyo baada ya polisi kumtia
nguvuni kijana huyo baadhi ya watu
waliotapeliwa waliweza kumtambua
huku familia ya Lukuvi iliyokuwemo
katika ukumbi huo ikimkana katu katu
kuwa hana hata chembe ya familia na
watu hawamtambui .
Kada wa CCM maarufu mkoani Iringa
Godfrey Malenga Lukuvi alisema
kuwa kijana huyo amekuwa akitumia
jina la waziri Lukuvi kuliza watu na
kuwa wengi wamekuwa wakilalamika
kuhusu utapeli unaofanywa na kijan
a huyo na kuwa tayari alipata
kukamatwa na polisi ila alitolewa .

Kwa upande wake katibu
wa mbunge jimbo la Isimani ambae
pia ni familia ya Lukuvi Bw Thom
Malenga Lukuvi alisema kuwa amekuwa
akipokea malalamiko mbali mbali kutoka
kwa watu mbali mbali ambao
wamelizwa na kijana huyo na kuwa
siku zote alikuwa akiweka mtego
ili kumnasa kijana huyo
tapeli japo hakufanikiwa kumpata.

Thom ambae yupo nje ya mkoa
wa Iringa kwa shughuli za kifamilia
alisema kuwa alitamani sana kama
angebahatika kumshuhudia kwa
macho kijana huyo tapeli
ila kwa kuwa yupo nje ya mkoa
atajitahidi kurudi mapema mjini
Iringa ili kumwona tapeli huyo.

Kwa upande wake mkurugenzi
wa Halmashauri ya Manispaa
ya Iringa Teresia Mahongo
alimweleza mwandishi wa mtandao huu wa www.matukiodaima.com kuwa pia
kijana huyo alipata kufika ofisini
kwake kwa ajili ya kumtapeli na baada ya
kumshtukia alimtafuta waziri
Lukuvi kwa simu na kuelezwa kuwa kijana huyo ni tapeli mkubwa .

Hata hivyo mwanahabari
Gerald Malekela wa radio
Nuru Fm alisema kuwa kijana
huyo alipata kufika studio za
radio hiyo kwa ajili ya kutapeli
uongozi kwa kutumia jina hilo
na kufika studi za radio hiyo
huku akiwa na barua inayosifia
watangazaji na kuomba kusaidiwa
zaidi kama mmoja kati ya wasikilizaji .
Mtandao huu ulipata nafasi ya
kumtafuta kwa njia ya simu
waziri Lukuvi ambae mbali ya
kumkana kuwa hamtambui
bado alisema kuwa amepata
kuwaliza watu mbali mbali kwa kutumia jina lake.

Lukuvi alisema kuwa tayari
amepata kupokea malalamiko
kutoka kwa mkurugenzi wa
Manispaa ya Iringa na kumwagiza
kumtakata na kutaka sheria ichukue mkondo wake.

"Mimi huyu kijana simtambui na
wala si ndugu yangu ila amekuwa
akitumia jina langu kutapeli watu
na tayari alikamatwa na polisi kwa utapeli huo"

Mkuu wa mkoa wa Iringa Dkt
Christina Ishengoma aliwaonya
watu wanaoendelea kutapeli
wengine kwa kutumia majina
ya viongozi ama namna nyingine
yeyote kuacha mara moja na kuwa
akiwa kama mwenyekiti
wa kamati ya ulinzi na usalama
ya mkoa hatakubali kuona
matapeli hao wakiendelea
kulizwa watu kwa njia ya udanganyifu .


Hata hivyo aliwataka
wananchi kujiepusha na wimbo
hilo la utapeli kwa kuwaripoti
polisi watu wanaowashukia kuwa ni matapeli .
Chanzo: Matukiodaima
       

Comments

Popular posts from this blog

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HAYA NDO MANENO YA KUMPANDISHA hisia MPENZI WAKO UMPENDAE!!!!!

                                       Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza  kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidog

HUYU NDIYE ALIIYELAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA PAMOJA NA FARASI KWA AJILI YA PESA.

When the Internet first came to the continent of  African society,most people were  very pleased with it because it reduces stress of communication with love around the world,it also serve as productive purposes like communication.It served many people for chatting, sending mails and even business. As the time passed by many ladies discovered that they could use the internet to find a chat friend or a life partner.Some girls have greatly benefited just by using the internet to find their dream marriages or relationhsips. Others have fallen into traps in the West and wish they would never have known what the internet was.This is the case of one Cameroonian,Elvire Axelle Tchamakoua. Continue....... SEE HOW IT ALL HAPPEN.... Axelle is pr00stit-te who is pimped to various men by her main man Jean Claude(French Businessman).She did not mind serving her customers from the front or from behind.The use of condoms during her encouters was the allowed as it b