Skip to main content

BODI YA FILAMU YAWABADILISHA MAYA NA CATHY


BAADA ya bodi ya filamu kupiga marufuku uvaaji wa vimini kwa wasanii wa filamu Bongo, wasanii wakongwe, Mayasa  Mrisho ‘Maya’ na Sabrina Rupia ‘ Cathy’ wameamua kuja kivingine baada ya kuamua kutinga vitu vya asili.
Wasanii hao walinaswa na paparazi wetu hivi karibuni kwenye Kijiji cha Makumbusho, jijini Dar walipokuwa wakirekodi filamu na walipoulizwa walifunguka kuwa kwa sasa watakuwa wakilipuka mitoko ya vikoi kuhofia adhabu licha ya kuwapendeza.
“Baada ya kupigwa vimini marufuku tumeamua kupigilia hivi kiasili na unaona tunavyopendeza maana tunaonekana ni wanawake wa Kiafrika kweli tutakuwa tunavaa hivi kuanzia sasa,” alisema Cathy  na kuongeza:
“Tutapata shida pale tutakapohitajika kuigiza kuvaa kama mwanamke malaya!”

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...