Skip to main content

HAWA NDIO WAIGIZAJI WA TANO AMBAO JB ANAWAKUBALI

BONGE la Bwana, Jacob Steven ‘JB’ ameweka plain kuwa mwigizaji anayeongoza kwa kuuvaa uhusika katika sinema za Bongo ni Irene Paul ambaye anakamata namba moja katika Top Five ya mastaa wa kike anaowakubali.
Akizungumza na paparazi wetu jijini Dar juzi, JB alisema mtu anapofanya kazi nzuri ni lazima umpongeze na hakuna sababu ya kumbania hivyo, kutokana na kiwango alichonacho Irene Paul, hakuna staa wa kike yeyote nchini aliyekifikia.
“Unajua nini? Mtu anapofanya kitu kizuri lazima ukipongeze na mimi nampongeza sana Irene amekuwa akijitahidi katika kucheza filamu kwa kiwango cha juu mno, namkubali  kwa kweli,” alisema na kuongeza:
“Hakuna kitu kizuri kama kupongezana wenyewe kwa wenyewe, hiyo itamjenga mtu na kumfanya azidi kusonga mbele siku hadi siku na jambo zuri zaidi ni kusaidiana.”  Licha ya Irene Paul wasanii wake wengine anaowakubali ni Irene Uwoya, Riyama Ally, Aunt Ezekiel na Wema Sepetu.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...