Skip to main content

JE WAJUA KUWA ULIMI WAKO KABURI LA MAPENZI YAKO!



Kwa kuanzia pale tulipoishia wiki iliyopita, tukiwa katikati ya mfano wa uhusiano wa kimapenzi kati ya Raja na Jane, tulishaona jinsi ambavyo Raja alishangazwa na majibu ya Jane akimjibu rafiki yake: “Nikipata mimba ‘naflash’ wala hakuna mgogoro kabisa.”
Siku zilivyokwenda mbele, Raja alimzoea Jane. Sasa akawa na ujasiri wa kuhoji baadhi ya vitu. Siku moja Raja aliumwa na kulazwa kwenye hospitali moja iliyopo Kinondoni, Dar es Salaam.  Jane alipokwenda kumwona, akamwambia: “Baby hii hospitali wanatoa sana mimba.”
Raja akashtuka kusikia kauli hiyo kutoka kwa mwenzi wake, akaiunganisha na ya siku ile alipokuwa anataniana na rafiki yake: “Nikipata mimba ‘naflash’, mbona kitu rahisi!”   Vilevile  Raja akayakumbuka maneno ya yule rafiki wa Jane: “Umezoea eeh, shauri yako!”
Hapohapo, Raja akamwuliza Jane: “Wewe umejuaje kama hapa wanatoa mimba?”
Jane akajibu: “Najua tu, si unajua mimi ni mwanamke?”
Raja: “Ukiwa mwanamke ndiyo ujue sehemu za kutoa mimba?”
Jane: “Je, nikisema nimeshatoa mimba hapa?”
Raja: “Hapo unamaanisha wewe ni mzoeafu wa kuchoropoa mimba siyo?”
Jane: “Unamaanisha nini kuniita mzoefu?”
Raja: “Kauli zako zinatoa picha.  Siku ile ulisema ukipata mimba unaflash, leo umefika hapa hata hatujaongea kuhusu ugonjwa wangu, wewe unasema hapa wanatoa mimba. Nakuuliza umejuaje, unajibu wewe ni mwanamke, eti je, ukisema umeshatoa mimba?   Asimuliaye mvua imemnyeshea.”
Jane: “Labda kama una yako, nisikwambie kitu ninachokijua? Wewe siku hizi una wivu sana.”
Raja: “Jane naanza kupata picha mbaya sana kwako. Huko nyuma ulishanitamkia kuwa wewe unapenda sana ngono, tena ulikuwa mzinzi sana. Na sasa hili la utoaji mimba. Maneno yako yanaonesha wewe ni mwanamke malaya sana.”
Maneno “wewe ni malaya sana”, yalitamkwa na Raja akiwa mbali sana kwa hisia zilizomjengea hasira. Alimwamini sana Jane na alimchukulia kwamba ni mkewe mtarajiwa. Tatizo ni Jane mwenyewe hakuwa na nidhamu ya kuzungumza. Hakujua kuchuja maneno mbele ya mwenzi wake.
Upande wa pili, Jane aliyapokea yale maneno “wewe malaya sana” kama yenye sura ya udhalilishaji. Aliona ametukanwa sana. Matokeo yake, Jane alisusa kuendelea kuwa pale hospitali, moja kwa moja akaondoka zake. Raja wala hakujali, akamwambia: “Nenda, ondoka malaya mkubwa wewe.”
Uhusiano ulivunjika hapohapo. Walipoachana, kila mtu alibaki na lake. Jane aliwaambia watu wake kwamba alishindwa kuelewana na Raja kwa sababu ni mwanamme mwenye gubu kwa kuwa ni mtu mwenye kupenda manenomaneno na hata jambo lililopita yeye hulikumbushia.
Upande wa Raja, japo hakuwa msimuliaji sana kwa watu ila pale alipoona ulazima wa kueleza, alisema Jane ni mwanamke malaya na asiyejiheshimu. Kwamba hata kama vitendo vyake vya kihuni alivifanya kwa siri au zamani, huona fahari kusimulia waziwazi kitu ambacho ni kibaya sana.

Itaendelea wiki ijayo.
SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS

Comments

Popular posts from this blog

ANGALIA VIDEO YA MWANAMKE AKIZINI NA CHUPA YA SODA YANASWA

 Katika  hali  ya  kushangaza  na  kuashiria  miisho  ya  dunia, binti  mmoja  amenaswa  " live " akifanya  mapenzi  na  CHUPA YA SODA. Katika  video  hiyo, binti  huyo  anaonekana  akitoa  ushirikiano  wa  kutosha  mithili  ya .............

HUYU NDIYE ALIIYELAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA PAMOJA NA FARASI KWA AJILI YA PESA.

When the Internet first came to the continent of  African society,most people were  very pleased with it because it reduces stress of communication with love around the world,it also serve as productive purposes like communication.It served many people for chatting, sending mails and even business. As the time passed by many ladies discovered that they could use the internet to find a chat friend or a life partner.Some girls have greatly benefited just by using the internet to find their dream marriages or relationhsips. Others have fallen into traps in the West and wish they would never have known what the internet was.This is the case of one Cameroonian,Elvire Axelle Tchamakoua. Continue....... SEE HOW IT ALL HAPPEN.... Axelle is pr00stit-te who is pimped to various men by her main man Jean Claude(French Businessman).She did not mind serving her customers from the front or from behind.The use of condoms during her encouters was the allowed as it b

HAYA NDO MANENO YA KUMPANDISHA hisia MPENZI WAKO UMPENDAE!!!!!

                                       Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza  kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidog