Skip to main content

KALA JERIMIAH AFUNGUKA JUU YA TUZO ALIZOZIPATA

jANA ILIKUWA SIKU KUBWA SANA KWENYE MAISHA YANGU. KUPOKEA TUZO 3 KWA MPIGO NI ALAMA YA USHINDI.MUNGU KASIKIA KILIO CHETU.NATAMANI NIONGEE FURAHA YANGU ILI NA WE UJUE ILA TATIZO FURAHA YANGU HAIZUNGUMZIKI.NIMEFURAHI SANA

ASANTE MUNGU KWA HILI SHAVU JINGINE

ASANTENI SANA MASHABIKI WANGU KWA KUNIFANYA MFALME NAWAPENDA SANA

ASANTENI VYOMBO VYOOTE VYA HABARI BILA NYINYI SIWEZI

ASANTENI SANA WAAANDAAAJI WA TUZO HIZI KILIMANJAARO TANZANIA MUSIC AWARDS. MMEIBADILISHA HISTORIA YA MUZIKI WANGU

ASANTE SANA MADAME RITA NA BSS KWA UJUMLA KWA KUIBUA HIKI KIPAJI 

ASANTE PRODUCER WANGU DEE CLASSIC KWA MDUNDO WA DEAR GOD

ASANTENI SANA WASANII WENZANGU KWA KUNIPA USHIRIKIANO

KATI YA WATU WALIYOONYESHA FURAHA ZAO ZA AJABU SANA NI PAMOJA NA JOKATE MWEGELO KIDOT AMBAYE HUWA SIKU ZOTE YUKO UPANDE WANGU SANA. PIA SHILOLE AMBAYE ALIBAHA KWA FURAHA NA MARAFIKI WENGINE.

 NASEMA ASANTENI SANA. MBARIKIWE.
jANA ILIKUWA SIKU KUBWA SANA KWENYE MAISHA YANGU. KUPOKEA TUZO 3 KWA MPIGO NI ALAMA YA USHINDI.MUNGU KASIKIA KILIO CHETU.NATAMANI NIONGEE FURAHA YANGU ILI NA WE UJUE ILA
TATIZO FURAHA YANGU HAIZUNGUMZIKI.NIMEFURAHI SANA

ASANTE MUNGU KWA HILI SHAVU JINGINE

ASANTENI SANA MASHABIKI WANGU KWA KUNIFANYA MFALME NAWAPENDA SANA

ASANTENI VYOMBO VYOOTE VYA HABARI BILA NYINYI SIWEZI

ASANTENI SANA WAAANDAAAJI WA TUZO HIZI KILIMANJAARO TANZANIA MUSIC AWARDS. MMEIBADILISHA HISTORIA YA MUZIKI WANGU

ASANTE SANA MADAME RITA NA BSS KWA UJUMLA KWA KUIBUA HIKI KIPAJI

ASANTE PRODUCER WANGU DEE CLASSIC KWA MDUNDO WA DEAR GOD

ASANTENI SANA WASANII WENZANGU KWA KUNIPA USHIRIKIANO

KATI YA WATU WALIYOONYESHA FURAHA ZAO ZA AJABU SANA NI PAMOJA NA JOKATE MWEGELO KIDOT AMBAYE HUWA SIKU ZOTE YUKO UPANDE WANGU SANA. PIA SHILOLE AMBAYE ALIBAHA KWA FURAHA NA MARAFIKI WENGINE.

NASEMA ASANTENI SANA. MBARIKIWE.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...