Skip to main content

LADY JAYDEE NA JUMA NATURE WAJIPANGA KUTOA NGOMA YA PAMOJA



Baada ya kumpa shavu The Heavy Weight MC Profesa Jay kwenye joto hasira, Lady JayDee a.k.a Anaconda anaendeleza utamaduni wa kuwapa mashavu wasanii wakongwe na wakali..hivi karibuni alirekodi wimbo na...... Q chilah, and guess Who’s next, ni Juma Kassim Nature Kiroboto.



Kupitia akauunti yake ya twitter Anaconda amewapa fans wake good news kuhusu ujio wa ngoma yake na Juma Nature, huku akitaka kujua kama wako tayari kuipokea. 
fans wengi waliipokea habari hiyo kwa shangwe lakini Jide aliwaeleza kuwa sio kwamba kila wimbo anaorekodi sasa hivi atauachia sasa hivi.



“Tunarekodi tu nyimbo ili ziwepo ila haimaanishi zote zitatoka kwa wakati mmoja zitapeana muda. Wakati ukipata hisia lazma uingie Studio.” Alitweet Lady JayDee.


Kwa upande mwingine Mkali huyo aliweka wazi kile kinachomnyima amani katika maisha yake ‘kimuziki’ kuwa ni kiu ya kufanya wimbo na malkia wa mipasho Khadija Kopa. 

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Tazama picha za utupu ya Mwimbaji wa nyimbo za injili

Hili nalo ni tukio la kushitua baada ya msanii wa nyimbo za injiri kuamua kuanika picha zake za utupu kunako mitandao ya kijamii tukio hili limetokea hivi karibuni Nchini Nigeria Baada ya mwimbaji wa nyimbo za injiri kuweka piha na video kwenye mtandao anajulikana kwa jina la Maheeda  I doubt if this Naija female singer called Maheeda could still be described as a gospel singer giving her acts in recent times, especially in the social media. Her latest show of shame is posting videos of herself in the n*de while taking her bath. Check out more of her craze below:

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu