Skip to main content





MADRID, HISPANIA
KUNA madai mengi ya msingi yamejitokeza kuhusu uhusiano baina ya staa wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo na kocha wa zamani wa timu hiyo, Jose Mourinho, ulivyokufa. Wote ni raia wa Ureno.
Hata hivyo, vielelezo vya msingi vinapatikana zaidi wakati huu ambapo wawili hao wameachana njia huku Mourinho akirudi Stamford Bridge na Ronaldo akibakia Real Madrid. Hivi ndivyo............
uhusiano wao ulivyokufa.
Ronaldo akwepa kumkumbatia
Ronaldo alifunga mabao yote matatu wakati Madrid ikiizamisha Levante 3-1 Februari 2012. Kabla ya mechi hiyo, Ronaldo alimwahidi kocha wa viungo, Rui Faria, kwamba kama akifunga mabao matatu basi atashangilia naye.
Kwa hiyo alipofunga bao maridadi la tatu kwa shuti la mbali, alianza kukimbia kasi kuelekea katika benchi la timu yake kwa ajili ya kushangilia na Faria.
Hata hivyo, Mourinho alishtukia jambo hilo na kumpita kasi Faria aliyekuwa amejiandaa kushangilia na Ronaldo na kisha kumkumbatia Mreno mwenzake huyo ambaye hata hivyo hakufurahishwa na kitendo hicho cha Mourinho cha kulazimisha kumkumbatia.
Kwa haraka haraka tukio hilo lilileta picha nzuri hata kwa vyombo vya habari, lakini ukweli ni kwamba uhusiano wao ulikuwa uko duni huku ikisemekana kwamba Ronaldo alikuwa ana tabia ya kuhoji tabia ya Mourinho kupendelea kucheza soka la kujihami.
Ronaldo ahoji mbinu za Mourinho
Ugomvi baina yao ulikuja kuwa kitu cha kawaida hata katika siku za mwanzo za Mourinho pale Santiago Bernabeu. Siku chache baada ya kushinda Kombe la Mfalme, shukrani kwa bao la kichwa la Ronaldo Uwanja wa Mestalla dhidi ya Barcelona, Madrid ilichapwa 2-0 katika pambano la nusu fainali uwanjani Santiago Bernabeu na wababe hao wa Catalunya.
Akiwa amekerwa na staili ya soka la kujihami la Mourinho, Ronaldo alisikika akiwapigia kelele wachezaji wenzake uwanjani kuwataka waachane na mbinu za Mourinho na kucheza soka la kushambulia.
Baadaye katika chumba cha kubadilishia nguo, Mourinho alimfokea Ronaldo vikali mbele ya wachezaji wenzake kabla ya Ronaldo kutoboa siri kwa waandishi wa habari kwamba alikuwa hapendi mbinu za Mourinho. Matokeo yake? Aliwekwa benchi katika pambano la Madrid lililofuata ambalo walichapwa 3-2 na Zaragoza.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...