Skip to main content

Pep Guardiola akiri hana maajabu

MUNICH, UJERUMANI
KOCHA mpya wa Bayern Munich, Pep Guardiola, amejaribu kupunguza matazamio makubwa ya mashabiki wa timu yake kwa kusema kwamba hana miujiza na yeye ni kocha wa kawaida kama walivyo wengine.
Bayern ilitwaa mataji ya.........
Bundesliga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na DFB-Pokal msimu uliopita huku ikipoteza michezo mitatu tu katika michuano yote chini ya kocha Jupp Heynckes, lakini Guardiola amesema si lazima maajabu hayo yarudiwe.
“Si rahisi kushinda kama watu wanavyofikiri. Watu wanaamini tutashinda 6-0 au 7-0, lakini hilo si rahisi. Mashabiki wanataka zaidi na zaidi, lakini nimekuwa hapa kwa wiki sita tu zilizopita. Nahitaji muda zaidi. Mimi ni kocha wa kawaida, sina miujiza,” alisema Guardiola.
Guardiola alifurahia mafanikio makubwa katika kipindi cha miaka minne alichokuwepo Barcelona na mashabiki wa soka duniani wamekuwa na hamu kubwa ya kuona kama ataweza kurudia mafanikio hayo akiwa na Bayern Munich.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...