Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Septemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi akiteta na Mwanaheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema, bungeni Mjini Dodoma Septemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai akimwamuru Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kukaa chini, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi akifafanua jambo Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Bumbumbuli na Naibu waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, January Makamba, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5,2013. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Wabunge wa Chadema wakiwa wamesimama kukaidi amri ya Naibu spika, Job Ndugai ya kuwataka wakae chini , Bungeni Septemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wabunge wa CHADEMA wakipambana na Polisi, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments
Post a Comment