Skip to main content

Tazama picha ya Wazazi wa Dogo Janja walivyotua Bongo na Kuongea na Ostaz Juma Baada ya Kusikia Fununu za Mtoto wao Kutaka Kurudi Tip Top

Wazazi wa Dogo Janja aka Janjaro, wamekuja Dar es salaam wiki hii kuangalia maendeleo ya mtoto wao baada ya kusikia tetesi kuwa anarudi Tip Tipo Connection na kuhisi Watanashati wameshindwa kumsimania.
Ostaz Juma kushoto,Wazazi wa Dogo Janja katikati na Dogo Janja wamwisho.
Ostaz Juma kushoto,wazazi wa Dogo Janja katikati na Dogo Janja wa mwisho

Wakiongea na Bongo5 jana wakiwa katika Hotel ya Atrium, Sinza jijini Dar es salaam, Baba wa Dogo Janja, Mzee Chende alisema waliamua kusafiri kutoka Arusha mpaka Dar ili kukutana na mmiliki wa Watanashati Ostaz Juma, ili wajue kimetokea nini kwa mtoto wao.
Wazazi wa msanii Dogo Janja. (2)
Wazazi wa Dogo Janja

“Tuna week moja, mimi na mke wangu tumetoka Arusha kukutana Ostaz Juma ili tujue nini kilitokea baada ya kusikia Dogo Janja anataka kururi Tip Top, sasa tumekuna na Ostaz Juma tumeongea tumekuta mtoto wetu hana tatizo lolote na yupo salama kwa Watanashati na tumejua yalikuwa mambo ya kuzusha tu,” alisema baba yake na Janjaro.
Kwa upande wake mmiliki wa kampuni ya Watanashati Entertainment, Ostaz Juma na Musoma alisema ni kweli wazazi wa msanii huyo waliingiwa na wasiwasi baada ya kusikia rapper huyp anataka kurudi Tip Tip kwa kujua Watanashati imemtelekeza.
Ostaz Juma na Dogo Janja.
Ostaz Juma na Dogo Janja

“Ingawa mawasiliano ya simu yalikuwepo lakini walitaka kuja tukae pamoja wote ili tuongee. Sisi kama Watanashati tulikaa nakuamua tuwaite wazazi wa Dogo Janja tukae nao ili tuzungumze na kweli tumefanikiwa kuwaleta tumeongea nao na hakuna tatizo na tumepiga nao picha za ukumbusho,” alisema Ostaz.
Dogo Janja alisema amefurahishwa na kitendo cha wazazi wake kuja ili kujua maendeleo yake huku akiwaahidi wazazi wake kuwatembeza sehemu mbalimbali za jiji la Dar es salaam ili ‘waielewe mitaa’ (Kwa sauti ya Fid Q).
Ostaz Juma kushoto,Wazazi wa Dogo Janja katikati na Dogo Janja wamwisho.

Ostaz Juma kushoto,Wazazi wa Dogo Janja katikati na Dogo Janja wa mwisho

IMG_0205

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...