Skip to main content

DK. SHEIN AKIWA NA MMZUNGUMZO NA WAANDISHI WA HABARI LEO

dk shein 1ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Kamati ya uandishi wa taarifa za Serikali,katika mahojiano maalum kuhusu maendeleo ya Zanzibar,ikiwa ni katika  maadhimisho   ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Dk SheinRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Kamati ya uandishi wa taarifa za Serikali,katika mahojiano maalum kuhusu maendeleo ya Zanzibar,ikiwa ni katika  maadhimisho   ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

WATALII MBALIMBALI NDANI NA NJE YA NCHI WATAKIWA KUTANGAZA UTALII

Washindi wa shindano la Biggest
Baddiest Bascket, Allex Ayling (kushoto) na Mwenzake Mark wakitembezwa na
kuangalia namna walemavu wa kituo cha  Shanga
River House cha jijini Arusha, washindi hao waliopatikana kupitia kampuni ya
My Destination walikuwa nchini na kutembelea vivituo mbalimbali vya utalii na
kukagua miradi mbalimbali kama hiyo.
Mshindi wa shindano la Biggest
Baddiest Bascket, Allex Ayling  akipuliza
kioo kilicho yeyushwa  tayari kwa
kutengenezwa chombo chochote ambavyo hutokana na taka ngumu zinazozalishwa na
binadamu ikiwa ni moja ya shughuli zinazo fanywa na walemavu katika kituo cha
shanga river house cha jijini Arusha.
 Allex na Mark wakipewa maelezo ya shughuli za kituo.
WADAU mbalimbali wa
utalii wa ndani na nje ya nchi wametakiwa kuutangaza utalii wa Tanzania katika
maeneo yao ili kuwavutia watalii wengine kuzidi kufika kwa wingi hapa nchini
kujionea maliasili zilizopo na kuchangia pato  la taifa kwa ujumla.
Hayo yalielezwa jana na
Afisa Mtendaji  wa TATO ,Sirili Akko wakati akizungumza na wadau wa
maswala ya utalii waliohudhuria katika hafla ya kuwapongeza vijana wawili
walioshinda shindano lililoandaliwa na  kampuni ya My Destination
lililoshirikisha washiriki  122 ulimwenguni.
Aidha alisema kuwa
,Tanzania ni nchi ambayo imebahatika kupata vivutio mbalimbali vya utalii hivyo
kuwavutia watalii kufika na kujionea maliasili zetu, hivyo hawana budi
kuutangaza utalii wetu katika nchi zao ili kuendelea kukuza utalii zaidi kwa
nchi za Afrika.
Alisema kuwa, shindano
hilo lilihusu mshiriki kuchagua vitu ambavyo wangependa kufanya maishani kabla
hawajafa ndipo vijana hao wawili waliposhiriki katika shindano hilo na
kuoanisha kuwa wao wangependa kutembea dunia nzima na kujionea maajabu yaliyopo
katika vituo mbalimbali.
‘baada ya vijana hao
kushiriki shindano hilo walishinda na kupewa nafasi ya kuchagua
kutembelea nchi 25 kati ya 80 ambazo katika hizo nchi 25 walichagua nchi tatu
za Afrika ikiwemo kutembelea Tanzania,Zimbabwe,na Afrika ya kusini na ndo maana
wapo hapa leo tayari kwa kuanza zoezi hilo’alisema Akko.
Aliongeza kuwa, kitendo
cha wao kuchagua Tanzania kati  ya nchi 25 kimewafariji sana wao kama
wadau wa utalii kwani imeonyesha jinsi ambavyo utalii wa nchi yetu unaweza
kutangazwa na watalii mbalimbali na hatimaye kuweza kupata wageni wengi zaidi
kwa kujionea maliasili zilizopo katika maeneo yetu.
Nao vijana hao
walioshinda shindano hilo kutoka Calfonia Alex Ayling na Mark Ayling
walisema kuwa, shindano hilo waliweza kushinda  baada ya kukithi viwango
vya shindano hilo na hatimaye wamefurahia sana kushinda kwani mchuano
uliwashirikisha watu mbalimbali ulimwenguni.
Alex alisema kuwa, lengo
la kuchagua Tanzania miongoni mwa nchi tatu za Afrika ambazo wangependa kutembelea
ni kutokana na uoto wa asili uliopo katika maeneo mbalimbali ikiwemo hifadhi ya
Serengeti kwa ajili ya kujionea wanyama mbalimbali kama sehemu ya uchaguzi wao
Alisema kuwa,katika
maeneo hayo yote watakayotembelea watakuwa wakichukua mikanda mbalimbali kwa
ajili ya kuirusha kwenye mtandao na hatimaye watu mbalimbali kuweza kujionea
vivutio mbalimbali vilivyopo katika  vituo watakavyotembelea.
Mark alisema kuwa,
wamekuwa wakifuatilia vitu  mbalimbali vinavyoendelea Tanzania ikiwemo wanyama
mbalimbali wa kuvutia , pamoja na kufuatilia makabila ya wamasai ambayo
watakuwa na nafasi ya kuwatembelea na kuweza kujifunza maswala mbalimbali
kutoka kwao.
walipewa zawadi na marafiki mbalimbali

Comments

Popular posts from this blog

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HAYA NDO MANENO YA KUMPANDISHA hisia MPENZI WAKO UMPENDAE!!!!!

                                       Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza  kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidog

HUYU NDIYE ALIIYELAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA PAMOJA NA FARASI KWA AJILI YA PESA.

When the Internet first came to the continent of  African society,most people were  very pleased with it because it reduces stress of communication with love around the world,it also serve as productive purposes like communication.It served many people for chatting, sending mails and even business. As the time passed by many ladies discovered that they could use the internet to find a chat friend or a life partner.Some girls have greatly benefited just by using the internet to find their dream marriages or relationhsips. Others have fallen into traps in the West and wish they would never have known what the internet was.This is the case of one Cameroonian,Elvire Axelle Tchamakoua. Continue....... SEE HOW IT ALL HAPPEN.... Axelle is pr00stit-te who is pimped to various men by her main man Jean Claude(French Businessman).She did not mind serving her customers from the front or from behind.The use of condoms during her encouters was the allowed as it b