Skip to main content

ABDULRAHMAN KINANA NA UJUMBE WAKE WAINGIA MBAMBA BAY WALAYA YA NYASA

1Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi za mikono wakati akifanya kazi ya kusomba matofali pamoja na wananchi wa kata ya Luhangarasi wakati alipokagua ujenzi wa ofisi hiyo Kata Wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma leo, Kinana pia aehutubia mikutano mbalimbali ya hadhara na kuwatembelea mwenyeviti wa mashina katika kuimarisha uhai wa chama, Katika ziara hiyo Kinana ameambatana na Dr,Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kiamtaifa na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi. kesho ataendelea na ziara yake ya kikazi huko Lituhi baada ya kufanya mkutano wa haddhara kwenye uwanja wa mpira wa Mbamba Bay leo jioni.(PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-MBAMBA BAY- NYASA) 2Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifungua ofisi ya chama cha mapinduzi wilaya ya Nyasa mjini Mbamba Bay leo kushoto ni Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi Mh.Kapteni John Komba 3Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozwa na Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi Mh. Kapteni John Komba wakatakikagua ujenzi wa ofisi hiyo ya CCM wilaya ya Nyasa, kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Nyasa Ndugu Ernest Kahindi. 4Wananchi wa Kata ya Luhangarasi wakishiriki kusomba matofali kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya kata yao 5Kazi ikiendelea kwa umoja na ushirikiano mkubwa. 6Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi Kapteni John Komba akizungumza na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi wakati wa kikao cha ndani kata ya Luhangarasi 7Wana CCM wakicheza nyumbani kwa balozi Yosefu Ndunguru wakati Ndugu Abdulrahman Kinana alipomtembelea balozi huyo na kufanya mazungumzo naye pamoja na wanachama wa shina hilo 8Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa  akiwa katika picha ya pamoja na Ernest Kahindi Mkuu wa wilaya ya Nyasa  9Ndugu Abdukrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika kata ya Kingerikiti wilayani Nyasa leo 10Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na timu ya wanawake ya Kata ya Kilosa Mbamba Bay kabla timu hiyo haijaingia uwanjani kumenyana na timu ya wanawake ya Mbamba Bay , kulia ni Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa  11Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na timu ya wanawake ya Kata ya  Mbamba Bay kabla timu hiyo haijaingia uwanjani kumenyana na timu ya wanawake ya Kilosa. 12Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na timu ya wanawake ya Kata ya Kilosa Mbamba Bay kabla timu hiyo haijaingia uwanjani kumenyana na timu ya wanawake ya Mbamba Bay. 13Timu hiyo zikimenyana 14Wachezaji wa timu ya Mbamba Bay na Kilosa wakimenyaka vikali katika mchezo huo uliofanyika kwenye uwanja wa mpira wa Mbamba Bay ambapo timu ya Mbamba Bay imeibuka na ushindi wa goli moja. 15 Ernest Kahindi Mkuu wa wilaya ya Nyasa akiwahutubia wana Mbamba Bay kwenye uwanja wa Mpira mjini Mbamba Bay. 16Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa  akiongea na wananchi wa Mbamba Bay. 17Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akizungumza na wananchi wa Mbamba Bay katika mkutano wa hadhara mjini Mbamba Bay. 18wananchi wakishangilia jambo katika mkutano huo wa hadhara. 19Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mbamba Bay kwenye mkutano wa hadhara mjini Mbamba Bay. 20Kapteni John Komba Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara leo mjini Mbamba Bay. 21Vikundi vya ngoma vikitumbuiza katika kata ya Kingerikiti 22Vikundi vya ngoma vikitumbuiza katika kata ya Luhangarasi.

Comments

Popular posts from this blog

ANGALIA VIDEO YA MWANAMKE AKIZINI NA CHUPA YA SODA YANASWA

 Katika  hali  ya  kushangaza  na  kuashiria  miisho  ya  dunia, binti  mmoja  amenaswa  " live " akifanya  mapenzi  na  CHUPA YA SODA. Katika  video  hiyo, binti  huyo  anaonekana  akitoa  ushirikiano  wa  kutosha  mithili  ya .............

HUYU NDIYE ALIIYELAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA PAMOJA NA FARASI KWA AJILI YA PESA.

When the Internet first came to the continent of  African society,most people were  very pleased with it because it reduces stress of communication with love around the world,it also serve as productive purposes like communication.It served many people for chatting, sending mails and even business. As the time passed by many ladies discovered that they could use the internet to find a chat friend or a life partner.Some girls have greatly benefited just by using the internet to find their dream marriages or relationhsips. Others have fallen into traps in the West and wish they would never have known what the internet was.This is the case of one Cameroonian,Elvire Axelle Tchamakoua. Continue....... SEE HOW IT ALL HAPPEN.... Axelle is pr00stit-te who is pimped to various men by her main man Jean Claude(French Businessman).She did not mind serving her customers from the front or from behind.The use of condoms during her encouters was the allowed as it b

HAYA NDO MANENO YA KUMPANDISHA hisia MPENZI WAKO UMPENDAE!!!!!

                                       Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza  kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidog