Skip to main content

WANAFUNZI WA CBE WAOMBA ARDHI IPASUKE WAFICHE NYUSO ZAO BAADA YA KUACHIA PICHA ZAO CHAFU MTANDAONI

Chanzo  chetu kiliendelea kutupa mtonyo Kimegundua mhe huyo yupo sana midomoni mwa watu wambea licha ya kwamba watu wengi hawamfahamu lkn wanajifanya wanamfahamu na wanaume vijana ambao hawajiamini na mademu zao kwa kugurd kutumia kuponda watu wenye uwezo wa kifedha namadaraka . kwa umbea wao sasa imefikia kikomo, jamaa hao wapo mtaani kila kona kwa ajili ya kugawa dozi kwa wambea hao wanaomchafua kigogo huyo:


Wanafunzi watatu wa vyuo vya vya Dodoma ambapo mmoja wao ni mwanafunzi wa CBE na wengine hawajajulikana, walijikuta katika wakati mgumu tena wa aibu kubwa sana baada ya kuchezea kichapo kitakatifu yani ni kipigo cha mbwa mwizi.



Ni baada ya kukutwa wanaongea habari za umbeya za kumchafua
  mh Mmoja mfanyabiashara na maarufu sana Mjini Dodoma ambaye ana jina maarufu kwenye midomo ya wambea na wadada wa Vyuoni na mtaani wanaojifanya wanafahamu watu,

 Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari na camera zetu ambazo zipo kila kona zilifanikiwa kupata umbea wa kuaminika kwa watu wa karibu wa hao jamaa waliogawa dozi, Inasemekana jamaa hao si watu wakawaida na walishatoaga kichapo ktk saloon moja maarufu kwa umbea hapa mjini Dodoma Ingawa hatukufanikiwa kupata jina kamili ya soloon hiyo ya kike na maeneo ilipo, Boss ngasa.com bado tunaendelea kufanya uchunguzi wa soloon hiyo ya wambea na tutaitaja muda si mrefu. 

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...